Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …

1657377927840-jpeg.2285525

1657378119787.jpeg
 
Attachments

  • 1657377927840.jpeg
    1657377927840.jpeg
    48.1 KB · Views: 20
  • 1657378145798.jpeg
    1657378145798.jpeg
    64.3 KB · Views: 9
Kakopa mpaka akawa akopeshiki mbaya zaidi zile fedha ikawa zinamnufaisha yeye na marafiki zake akulizika akawauzia bandari wachina ayaa akaingia choo cha kike kwenda urusi apewe mafuta ya mkopo wanaojierewa wakaona mbali huyu jamaa anauza nchi kwa ufupi jamaa alikuwa fisadi sana
 
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.

Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!

Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?

Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
 
Watanzania hawataiga huu ujinga wataiga mambo mengine mazuri
 
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.

Lakini bado Sri lanka imetuzidi Tanzania tena kwa mbali tu, kwa maana nyingine bado maisha ya mtu wa Sri Lanka ni bora kuliko Tanzania!
 
wasingepanick namna hii kwenye mafuta.

umaskini unatafsiriwa wakati wa dharura kama huu.
nchi ambayo ina utawala mbovu namna hiyo unahesabuje imekuzidi!!

imekuzidi nini?4
 
Kmmke hapa kwetu kuna mang'ombe hayawezi kutokea hayo
 
wasingepanick namna hii kwenye mafuta.

umaskini unatafsiriwa wakati wa dharura kama huu.
nchi ambayo ina utawala mbovu namna hiyo unahesabuje imekuzidi!!

imekuzidi nini?4

Labda wameamka tu, wakati mwingine wananchi kujitoa kwa wingi wao kuipinga Serikali inayowakandamiza ni kielelezo cha kujitambua na siyo umasikini tu, North Afrika (Tunisia, Algeria na hata Egypt) wananchi waliingia barabarani pia kuondoa Serikali sasa unaweza kulinganisha uchumi wa Tunisia au Algeria na Tanzania ?

Hao watu bado wana matumaini na ndiyo maana wameamua kufanya hivyo, ukiona nchi kuna umasikini uliopitiliza na Viongozi wana kibuli na hawajali chochote halafu wananchi wake hawafanyi chochote kuna 2, aidha low IQ ya wananchi husika au kukata tamaa kabisa!
 
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
Vipi kuhusu Singapore
 
Back
Top Bottom