Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Ukisikia nguvu ya umma ndiyo hiyo
Hapo hakuna vyama vya siasa

Ova
 
Wasrilanka wamepinda wagumu sana

Ova
 
Nenda google andika Sri Lanka economic ranking, kisha google na Tanzania economic ranking utapata majibu.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Unamaanisha nini unaposema economic ranking? GDP ya Sri Lanka ni kubwa kuliko ya Tanzania ingawaje Sri Lanka ina watu ~ milioni 20 tu vs Tanzania watu > milioni 45 na income per capita ya Sri Lanka bado pia ni kubwa kwa mara mbili ya income ya Tanzania, sasa sijui ni kipimo gani kingine cha kiuchumi unachoongelea ?
 
Haya ndio matatizo ya kutaka katiba yenye uhuru uliopitiliza!!
matokeo yake ndio haya.
katiba lazima iwe na mipaka
 
Mbona kipindi cha JK kuna waliojaribu kuivamia Ikulu tena siku hiyo JK ndio alikuwa ametoka safari Ulaya
 
Wa-Srilanka wameichoka serikali yao ya Chama Cha Mapinduzi na wamekataa kuitwa watu wenye akili za kawaida pindi wakihoji masuala ya msingi juu mustakabari wa maisha yao na vizazi vyao!
 
Haya ndio matatizo ya kutaka katiba yenye uhuru uliopitiliza!!
matokeo yake ndio haya.
katiba lazima iwe na mipaka
Yaan nyie mbulula wa ccm mnafikir nchi hii ni ya kwenu. Watu wamepewa nchi na wameshindwa kuindesha na bado hawataki kutoka unataka wafanyweje Sasa. Sheli hazina mafuta watu wanataabika sana vyiongoz wapo wapo tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi wazir mkuu wao
Alitangaza kuwa nchi imefilisika
Sikuwa nafahamu maana yake ni nn
Wachumi mtusaidie
 
IMG_20220709_202419_093.jpg
 
Back
Top Bottom