Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Safi sana

Hapo jeshi inabidi iwasikilize tu

Huku wanaweka mambo taratibu sawa

Ova
 
Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …

1657377927840-jpeg.2285525

View attachment 2285531
Hiyo Nchi imefilisika na sababu kubwa ni kutegemea sekta moja kuendesha Uchumi.
 
Safi sana

Hapo jeshi inabidi iwasikilize tu

Huku wanaweka mambo taratibu sawa

Ova
Kwani jeshi ndio litaacha raia waharibu mali na kuvuruga Nchi Kisa eti unadai Hali nzuri za maisha?

Hakunaga jeshi la hivyo Duniani na hiyo haiwezi kuwa Nchi tena bila order maana rooting itaanza.
 
Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …

1657377927840-jpeg.2285525

View attachment 2285531
Na bado Huu ni mwanzo yatatokea Sana haya ,nchi nyingi ziko hovyo Sana kiuchumi + madeni makubwa yasiyolipika Kwa sasa na sababu zinazochangia haya ni nyingi Ila mismanagement na bad leadership ni moja wapo ya factor ambayo inaplay kwenye nchi nyingi kuanzia Lebanon ,Srilanka,Ecuador , Pakistan , Venezuela ,Cuba, Afghanistan, Libya , Yemen ,Sudan,Egypt , Ghana , Argentina,nk
 
Natamani na sisi tuwaige.Maana sisi huku uchumi umeharibiwa zaidi kuliko hata wao.wtz tuchukue hatua ili tuifanye nchi kuwa ya asali na maziwa.mimi niko tayari wewe je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio matatizo ya kutaka katiba yenye uhuru uliopitiliza!!
matokeo yake ndio haya.
katiba lazima iwe na mipaka
Wewe mpumbav mmezoea kuishi kama ng'ombe Tu , we Fala hata ukiambiwa uiname ifIrwe na hao wapuuz mnaoita viongozi bado utatii Tu , swine you
 
Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …

1657377927840-jpeg.2285525

View attachment 2285531
Labda baada ya Miaka milion 30 kutoka sasa, ila si kwa watu hawa Waswahili ambao we ao wanacho taka kuona ni maendeleo ya Simba na Yanga,
 
Yaan nyie mbulula wa ccm mnafikir nchi hii ni ya kwenu. Watu wamepewa nchi na wameshindwa kuindesha na bado hawataki kutoka unataka wafanyweje Sasa. Sheli hazina mafuta watu wanataabika sana vyiongoz wapo wapo tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Huyu mng£se hajawahi kuwa na akili ni furushi la kinyesi kwenye fuvu linalotembea
 
Hii nchi wazir mkuu wao
Alitangaza kuwa nchi imefilisika
Sikuwa nafahamu maana yake ni nn
Wachumi mtusaidie
Hazina ya serikali imekauka na nchi ina madeni makubwa yasiyoweza kulipwa na serikali hivyo serikali haikopesheki tena ,hence total economic failure ya nchi
 
Natamani na sisi tuwaige.Maana sisi huku uchumi umeharibiwa zaidi kuliko hata wao.wtz tuchukue hatua ili tuifanye nchi kuwa ya asali na maziwa.mimi niko tayari wewe je?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili kama nyie hii haiwezekani, nyie mnacho jua ni Yanga na Simba hata kama Watoto wenu wanashinda njaa na hawana ajira baada ya kusoma hilo hamtaki kujua mnacho jua ni Yanga na Simba.
 
Muongo wewe ! Sio kweli ! Wahindi koko wale wanadhiki hadi puani
Nani kakudanganya kuwa tz tupo vizuri kuwashinda sri lanka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Na bado Huu ni mwanzo yatatokea Sana haya ,nchi nyingi ziko hovyo Sana kiuchumi + madeni makubwa yasiyolipika Kwa sasa na sababu zinazochangia haya ni nyingi Ila mismanagement na bad leadership ni moja wapo ya factor ambayo inaplay kwenye nchi nyingi kuanzia Lebanon ,Srilanka,Ecuador , Pakistan , Venezuela ,Cuba, Afghanistan, Libya , Yemen ,Sudan,Egypt , Ghana , Argentina,nk
Kwani nyie mko vyema? Au wanao nufaika na hii nchi ni wachacge tu
 
Back
Top Bottom