Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Wanaanzaje kujikisanya.
Nchi haina watu wa intelligence?

Nimeona picha raia wanaoga bafuni kw waziri mkuu, wanalala vitanda vya ikulu hahahahaha
Jamaa zimepinda balaa
 
Overpopulation itasababisha matatizo makubwa na ghasia sehemu nyingi duniani kadri hali ya maisha itakavyokaza. Binadamu wakiwa wengi sehemu moja bila kazi au chakula watalipuka tu, lakini pia Overpopulation inasababisha ajira kuwa chache na ushindani mkubwa wa rasilimali.
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
 
Overpopulation itasababisha matatizo makubwa na ghasia sehemu nyingi duniani kadri hali ya maisha itakavyokaza. Binadamu wakiwa wengi sehemu moja bila kazi au chakula watalipuka tu, lakini pia Overpopulation inasababisha ajira kuwa chache na ushindani mkubwa wa rasilimali.
I like your theories. You sound like a super ELITE.

Sasa hapo kwa msingi huo watu wapewe CHANJO.

Hii itasaidia sana kuondoa overpopulation.
 
Chanjo inasaidiaje kuondoa overpopulation?

Chanjo gani inaweza kuondoa overpopulation?
I like your theories. You sound like a super ELITE.

Sasa hapo kwa msingi huo watu wapewe CHANJO.

Hii itasaidia sana kuondoa overpopulation.
 
Huwa nasema kila siku tuombe Mungu nchi iliyotulia kama yetu isitokee hivi kwani ikishatokea mara moja itakuja kuwa ndiyo kawaida, na kuimaliza tena ni shida kubwa. Ndiyo maana wenye akili wanataka viongozi wabadilke kabla wananchi hawajajanjaruka.
Umeandika point kubwa !!
 
Wanaanzaje kujikisanya.
Nchi haina watu wa intelligence?

Nimeona picha raia wanaoga bafuni kw waziri mkuu, wanalala vitanda vya ikulu hahahahaha
Jamaa zimepinda balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo kwenye swimming pool, yaan hawana hata habari.
 
Back
Top Bottom