cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hatareee tupu lol.Na mihogo wakiacha kulima Bungu !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatareee tupu lol.Na mihogo wakiacha kulima Bungu !!
Watu wengine bwana. Ukubwa wa nchi au udogo Haina uhusiano na u humi. Mbona zipo nchi nyingi ndogo na zina uchumi mnzuri tu. Qatar, Singapore, Hong Kong, Denmark, Tunisia, Ghana, Rwanda, Belgium. Zote hizo ni nchi ndogo ndogo na zina uchumi mnzuri. Hata srilanka uchumi wao siyo mbaya kivile kama nchi za kiafricaLets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
Basi labda Singapore watapungua kwa sababu karibia 90% wameshapata chanjo ya Corona.
Watu wengine bwana. Ukubwa wa nchi au udogo Haina uhusiano na u humi. Mbona zipo nchi nyingi ndogo na zina uchumi mnzuri tu. Qatar, Singapore, Hong Kong, Denmark, Tunisia, Ghana, Rwanda, Belgium. Zote hizo ni nchi ndogo ndogo na zina uchumi mnzuri. Hata srilanka uchumi wao siyo mbaya kivile kama nchi za kiafrica
Sri Lanka hakuna Field Force Unit?Kwanza ngoja nicheke ila kiufupi kwa bongo mkijaribu kuweka pua tu
Hamtaamini ffu wametoka wapi
Kufumba na kufumbua wapo kama wote yaani hata wa kagera watakuja Magogoni
Na wanakichapo wale jamaa
Ataje bisha ajakutana nao m nauzoefu nao mwaka 2016 kantalamba boys wanagongwa mbaka unasahau jina lako
Na wakizidiwa nguvu wakija bakabaka ndo utajua ikulu ni mahali patakatifu we paone vile vile ila usije kujalibu
Watu wengine bwana. Ukubwa wa nchi au udogo Haina uhusiano na u humi. Mbona zipo nchi nyingi ndogo na zina uchumi mnzuri tu. Qatar, Singapore, Hong Kong, Denmark, Tunisia, Ghana, Rwanda, Belgium. Zote hizo ni nchi ndogo ndogo na zina uchumi mnzuri. Hata srilanka uchumi wao siyo mbaya kivile kama nchi za kiafrica
Kwanini ikulu ya Dar na si Dodoma ?Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …
![]()
View attachment 2285531
Jeshi la nchi yoyote likiamua kuweka siraha zake chini hakuna kiongozi yeyote wa chama tawala atasimama🤣🤣Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …
![]()
View attachment 2285531
We uko negative sana. Kila kitu pingapinga. Dunia haiko hivyo unavyowaza. Mbona uchumi wa srilanka ni mkubwa kuliko wa Tanzania. Alafu unasema Ghana na Tunisia ni nchi kubwa. Hilo tatizoQatar ina watu milioni 2.8 wanaoishi kwenye eneo la ukubwa km za mraba 11,571. Kati yao hao watu karibia milioni 2 ni wageni sio hata raia wa Qatar. Hii ni sababu mojawapo ya serikali kuweza kuwapa raia wake maisha mazuri.
Hong Kong ni sehemu ya China.
Denmark ina watu milioni 5.8 wanaoishi kwenye eneo la km za mraba 43,000.
Tunisia na Ghana ni nchi kubwa sana, Rwanda ni nchi masikini.
Haya Ma-Srilanka yalikuwa majinga walikubalije uongozi uwe unarithishwa kwa ndugu wa familia moja? Sasa ndio wameamka usingizini. Kwa kwetu ni ngumu sana hali km ile kutokea serikali yetu inajitahidi sana kuwajibika. Serikali yetu inajitahidi kwa kweli, Sisi hatuwezi siyo kufika hata kukaribia ile situation haiwezekani.Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …
![]()
View attachment 2285531
Hiyo Rwanda itoe.Watu wengine bwana. Ukubwa wa nchi au udogo Haina uhusiano na u humi. Mbona zipo nchi nyingi ndogo na zina uchumi mnzuri tu. Qatar, Singapore, Hong Kong, Denmark, Tunisia, Ghana, Rwanda, Belgium. Zote hizo ni nchi ndogo ndogo na zina uchumi mnzuri. Hata srilanka uchumi wao siyo mbaya kivile kama nchi za kiafrica
We uko negative sana. Kila kitu pingapinga. Dunia haiko hivyo unavyowaza. Mbona uchumi wa srilanka ni mkubwa kuliko wa Tanzania. Alafu unasema Ghana na Tunisia ni nchi kubwa. Hilo tatizo
Tanzania hii akili za raia huwa ziko temporary, akiwa na njaa anawaza mapinduzi ila akishiba tu yeye na familia yake .Mtajua wenyeweinawezekana tu ni kuwa wamoja ila kwa Tz ni ngumu...
NCHI SIO KWAMBA IMETULIA, WAOGA NI WENGI.Huwa nasema kila siku tuombe Mungu nchi iliyotulia kama yetu isitokee hivi kwani ikishatokea mara moja itakuja kuwa ndiyo kawaida, na kuimaliza tena ni shida kubwa. Ndiyo maana wenye akili wanataka viongozi wabadilke kabla wananchi hawajajanjaruka.
Overpopulation ni tatizo kubwa duniani, tayari inasababisha matatizo makubwa na lisipodhibitiwa litazidi kusababisha majanga makubwa sana
SureOverpopulation itasababisha matatizo makubwa na ghasia sehemu nyingi duniani kadri hali ya maisha itakavyokaza. Binadamu wakiwa wengi sehemu moja bila kazi au chakula watalipuka tu, lakini pia Overpopulation inasababisha ajira kuwa chache na ushindani mkubwa wa rasilimali.
Huu ni ujinga au wewe ndo MJINGA kwa kuwa hujielewi. Kwa kuwa hao wanajielewa ndo maana wapo hapo.Watanzania hawataiga huu ujinga wataiga mambo mengine mazuri
Kabisa. wale jamaa walikuwa wazalendo sanaBora wangewaachia nchi Tamil tigers.
Bemendazole hivi Japan Ina km ngapi za eneo na watu elfu ngapi kuhalalisha uhuni wa viongozi kiasi hiki.Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.