Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.Kakopa mpaka akawa akopeshiki mbaya zaidi zile fedha ikawa zinamnufaisha yeye na marafiki zake akulizika akawauzia bandari wachina ayaa akaingia choo cha kike kwenda urusi apewe mafuta ya mkopo wanaojierewa wakaona mbali huyu jamaa anauza nchi kwa ufupi jamaa alikuwa fisadi sana
Huwa nasema kila siku tuombe Mungu nchi iliyotulia kama yetu isitokee hivi kwani ikishatokea mara moja itakuja kuwa ndiyo kawaida, na kuimaliza tena ni shida kubwa. Ndiyo maana wenye akili wanataka viongozi wabadilke kabla wananchi hawajajanjaruka.inawezekana tu ni kuwa wamoja ila kwa Tz ni ngumu...
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
Jambo usilolijua sawa na usiku wa giza. Sri Lanka maisha ni magumu sana.Lakini bado Sri lanka imetuzidi Tanzania tena kwa mbali tu, kwa maana nyingine bado maisha ya mtu wa Sri Lanka ni bora kuliko Tanzania!
Jambo usilolijua sawa na usiku wa giza. Sri Lanka maisha ni magumu sana.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Maisha Tanzania yanafuu kuliko Sri lanka.Maisha magumu Sri Lanka ndiyo lkn ukilinganisha na wapi ?
wasingepanick namna hii kwenye mafuta.Lakini bado Sri lanka imetuzidi Tanzania tena kwa mbali tu, kwa maana nyingine bado maisha ya mtu wa Sri Lanka ni bora kuliko Tanzania!
Hao watarudi kwa kishindo!Bora wangewaachia nchi Tamil tigers.
wasingepanick namna hii kwenye mafuta.
umaskini unatafsiriwa wakati wa dharura kama huu.
nchi ambayo ina utawala mbovu namna hiyo unahesabuje imekuzidi!!
imekuzidi nini?4
Vipi kuhusu SingaporeLets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.