Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

Watu wengine bwana. Ukubwa wa nchi au udogo Haina uhusiano na u humi. Mbona zipo nchi nyingi ndogo na zina uchumi mnzuri tu. Qatar, Singapore, Hong Kong, Denmark, Tunisia, Ghana, Rwanda, Belgium. Zote hizo ni nchi ndogo ndogo na zina uchumi mnzuri. Hata srilanka uchumi wao siyo mbaya kivile kama nchi za kiafrica
 
Qatar ina watu milioni 2.8 wanaoishi kwenye eneo la ukubwa km za mraba 11,571. Kati yao hao watu karibia milioni 2 ni wageni sio hata raia wa Qatar. Hii ni sababu mojawapo ya serikali kuweza kuwapa raia wake maisha mazuri.

Hong Kong ni sehemu ya China.

Denmark ina watu milioni 5.8 wanaoishi kwenye eneo la km za mraba 43,000.

Tunisia na Ghana ni nchi kubwa sana, Rwanda ni nchi masikini.
 
Sri Lanka hakuna Field Force Unit?
 

Hapo kwene list yako toa hio shithole Rwanda. Hao ni maskini wa kutupwa na asilimia 60% ya biashala zao wanafanya na Tanzania ambayo nayo ni paper tiger
 
Kwanini ikulu ya Dar na si Dodoma ?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la nchi yoyote likiamua kuweka siraha zake chini hakuna kiongozi yeyote wa chama tawala atasimama🤣🤣
 
We uko negative sana. Kila kitu pingapinga. Dunia haiko hivyo unavyowaza. Mbona uchumi wa srilanka ni mkubwa kuliko wa Tanzania. Alafu unasema Ghana na Tunisia ni nchi kubwa. Hilo tatizo
 
Haya Ma-Srilanka yalikuwa majinga walikubalije uongozi uwe unarithishwa kwa ndugu wa familia moja? Sasa ndio wameamka usingizini. Kwa kwetu ni ngumu sana hali km ile kutokea serikali yetu inajitahidi sana kuwajibika. Serikali yetu inajitahidi kwa kweli, Sisi hatuwezi siyo kufika hata kukaribia ile situation haiwezekani.
 
Hiyo Rwanda itoe.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa duniani, tayari inasababisha matatizo makubwa na lisipodhibitiwa litazidi kusababisha majanga makubwa sana kadri miaka inavyozidi kusonga mbele.
We uko negative sana. Kila kitu pingapinga. Dunia haiko hivyo unavyowaza. Mbona uchumi wa srilanka ni mkubwa kuliko wa Tanzania. Alafu unasema Ghana na Tunisia ni nchi kubwa. Hilo tatizo
 
Tz hatujaboronga kias hicho, Yaan ikifikia stage hiyo wananchi wanakua mobilised automatically.
 
Huwa nasema kila siku tuombe Mungu nchi iliyotulia kama yetu isitokee hivi kwani ikishatokea mara moja itakuja kuwa ndiyo kawaida, na kuimaliza tena ni shida kubwa. Ndiyo maana wenye akili wanataka viongozi wabadilke kabla wananchi hawajajanjaruka.
NCHI SIO KWAMBA IMETULIA, WAOGA NI WENGI.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa duniani, tayari inasababisha matatizo makubwa na lisipodhibitiwa litazidi kusababisha majanga makubwa sana

Now you talk like an elite. I like this.

Saa zile ulikuwa unaandika kama ngumbaru wa kawaida.
 
Sure
 
Bemendazole hivi Japan Ina km ngapi za eneo na watu elfu ngapi kuhalalisha uhuni wa viongozi kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…