Wanabodi tahadhima kwenu!
Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo.
Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama mikoa mingine, si tena maskani ya Rais kama Chamwino.
Badala ya Ikulu ya Magogoni kubaki ukiwa na gharama ya kuihifadhi, ni vizuri Rais Magufuli kuibadili matumizi ili sasa iwe:
(1). Soko kuu la Kimataifa la samaki. Kwamba wavuvi wote wa bahari kuu wapatumie kuuza samaki au;
(2) Pafanywe kuwa Chuo Kikuu maalum kwa taaluma ya utabibu (Magogoni Medical University College) au;
(3). Pageuzwe gereza la kisasa na maalum kwa ajili ya wafungwa wa kisiasa na wakosoaji wa Serikali au;
(4). Apewe mwekezaji Awadhi kutoka Oman anayetaka kudhulumiwa hela zake na sasa anaandaa demand note kuishitaki Serikali kumdhulumu mabilioni ya shilingi.
Unaweza kupendekeza matumizi mapya ya ofisi ya Magogoni ambayo kwa sasa vibaka na mateja wameanza kuchora ukuta wake kwa kutumia mavi. Karibu!!