Ikulu ya Magogoni ibadilishwe matumizi isiwe maskani ya popo

Ikulu ya Magogoni ibadilishwe matumizi isiwe maskani ya popo

Ngoja tuone...
Kwa maandishi mji mkuu ni Dodoma, ila kiuhalisia mji mkuu ni Dar es salaam...





Cc: mahondaw
 
Wanabodi tahadhima kwenu!

Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo.

Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama mikoa mingine, si tena maskani ya Rais kama Chamwino.

Badala ya Ikulu ya Magogoni kubaki ukiwa na gharama ya kuihifadhi, ni vizuri Rais Magufuli kuibadili matumizi ili sasa iwe:

(1). Soko kuu la Kimataifa la samaki. Kwamba wavuvi wote wa bahari kuu wapatumie kuuza samaki au;

(2) Pafanywe kuwa Chuo Kikuu maalum kwa taaluma ya utabibu (Magogoni Medical University College) au;

(3). Pageuzwe gereza la kisasa na maalum kwa ajili ya wafungwa wa kisiasa na wakosoaji wa Serikali au;

(4). Apewe mwekezaji Awadhi kutoka Oman anayetaka kudhulumiwa hela zake na sasa anaandaa demand note kuishitaki Serikali kumdhulumu mabilioni ya shilingi.

Unaweza kupendekeza matumizi mapya ya ofisi ya Magogoni ambayo kwa sasa vibaka na mateja wameanza kuchora ukuta wake kwa kutumia mavi. Karibu!!
Tumekusikia
 
You are not a global citizen
Global whaaaat ?

Jaribu kwenda kwako bila visa wakikuuliza airport waambie wewe global citizen!

Sisi hatutaki hata dual citizenship, sembuse global citizen.

Eff global citizen!
 
Kadhulumu bilioni 425 naye kadhulumiwa tilioni Saba na Kagame na urafiki umekufa .
Ha ha ha hapa Jf tunaweza kula ubuyu hadi meno yakafa ganzi hebu na wewe tupe iyo ya (Tilioni saba ) alizokula kagame .ila ya huyo Muarabu sio tu wamemuibia yy hata watz ambo tungepata ajira na punguzo la dawa hawajatutendea haki kabisa
 
Aiseeee! ndo maana simsikii tena kagame akiongelewa hapa tanzagiza kwamba amefanya ziara ya kikazi kule chatu..
Sasa tujichunge na huyu Nyusi asije kuondoka na Kope zetu akatuacha macho meupe.
 
Back
Top Bottom