mwekezaji Awadhi kutoka Oman anayetaka kudhulumiwa hela zake na sasa anaandaa demand note kuishitaki Serikali kumdhulumu mabilioni ya shilingi.
Unakasirika nini?ππππ
Unakasirika nini?
Ni humu humu JF tulisoma uzi wa mwekezaji aliyeleta fedha zake 150milioni dola za Marekani akitaka kuwekeza kujenga kiwanda Cha madawa huko Arusha. Fedha zake zimezuiwa BoT akitakiwa atoe rushwa kuijenga Dodoma. Amekataa sasa anataka hela yake akawekeze Kenya wanaomhitaji. Mods wanaweza kurejesha uzi huo.Long winded story when its all about Awadhi mu Oman...
Hivi wewe Nyarugusi unadhani ukiwa Oman watakujadili kwenye mitandao au magazeti yao eti kuna mwekezaji Ngonyani Chakubimbi from Tanzania anataka kudhulumiwa ?
Mbona Waafrika tuko hypnotized na wageni ambao wao wanatuona mbolea za nguruwe ?
Mwekezaji mu- Oman can suck my peanuts!
Hususan nyatiPafanywe kuwa soko kuu la East Africa kwa ajili ya kuuza nyama pori!!
Unasapoti dhulma? Unabagua kwa minajili ya Urais? Hufai popote na kokote. You are not a global citizenLong winded story when its all about Awadhi mu Oman...
Hivi wewe Nyarugusi unadhani ukiwa Oman watakujadili kwenye mitandao au magazeti yao eti kuna mwekezaji Ngonyani Chakubimbi from Tanzania anataka kudhulumiwa ?
Mbona Waafrika tuko hypnotized na wageni ambao wao wanatuona mbolea za nguruwe ?
Mwekezaji mu- Oman can suck my peanuts!
Kuna wengine.waliturudishia chenji za radar,walizoiba viongozi wetu wa sisiem.Long winded story when its all about Awadhi mu Oman...
Hivi wewe Nyarugusi unadhani ukiwa Oman watakujadili kwenye mitandao au magazeti yao eti kuna mwekezaji Ngonyani Chakubimbi from Tanzania anataka kudhulumiwa ?
Mbona Waafrika tuko hypnotized na wageni ambao wao wanatuona mbolea za nguruwe ?
Mwekezaji mu- Oman can suck my peanuts!
Usiruhusu akili yako kulipiza visasi huko ni kupotea ndugu na hakuna uzalendo wa kiivo leo utaanza kwa Mgeni wakiisha wao utaanza wenye rangi nyeupe wazawa nao watakimbia utahamia kwa Wakinga kisha wachaga fikra ya DHULMA huanzia mbali hata aliyeteka benk alianza na kuiba wali home kwao utotoni.Long winded story when its all about Awadhi mu Oman...