Ikulu ya Marekani: Mike Pence ampongeza Maxence Melo kwa unadhifu wake

Mbona kama kuna harufu ya ushoga hapo....mwanaume utamsifiaje mwanaume mwenzio kapendeza
 
Mike Pence ni kama kipa katoka. Yaan anamsifia mmiliki wa platform mwiba kwa serikali kama JF kwa kuvaa vizuri? Kweli Trump mjanja sana, kachagua pazia ndo awe makamu wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
Huko ni kina kirefu sana, yaani CCM wote wakina Polepole ujanja wao unaishia kupiga picha na madiwani wa kununua.

Wakijitahidi sana watapiga picha na Wacomonist wa China
 
Huko ni kina kirefu sana, yaani CCM wote wakina Polepole ujanja wao unaishia kupiga picha na madiwani wa kununua.

Wakijitahidi sana watapiga picha na Wacomonist wa China

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👯👯👯na mishat yao km misukule waliofufuka!
 
.hahahaahahahaha mbavu zangu mm jaman🤣🤣🤣
 
Bashite and company wakiona hivi viseemu fulani vinapwita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…