Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Hakika wewe ni nadhifu kiakili na kimuonekano(full confidence appearance Maxence Melo 👈
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni kina kirefu sana, yaani CCM wote wakina Polepole ujanja wao unaishia kupiga picha na madiwani wa kununua.
Wakijitahidi sana watapiga picha na Wacomonist wa China
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kachagua pazia ndo awe makamu wake
Tuambie kifungu cha kitabu kipi na namba ngapi kumsifia mwenzio ni ushoga?Mbona kama kuna harufu ya ushoga hapo....mwanaume utamsifiaje mwanaume mwenzio kapendeza
Noma sana big up boss wa jf
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama max[emoji2]
Uwii🤣🤣🤣 mkuu nimeishia kucheka mnoo hahahh tungejuta watzIngekuwa ni Magufuli kaonana na wote hao Gerson Msigwa asingetuacha tulale
Huko ni kina kirefu sana, yaani CCM wote wakina Polepole ujanja wao unaishia kupiga picha na madiwani wa kununua.
Wakijitahidi sana watapiga picha na Wacomonist wa China
Ulitakiwa ujibu kuwa hiyo suti ni jitihada za serikali ya awamu ya tano kwa kutengeneza viwanda vya ndani, wallahi ungebakizwa huko huko ukawe Balozi wetu US.
Ila kwa jibu lako hilo la sijui kazi ya Sheria nani sijui, subiri uone unavyotafutiwa timing ukaswekwe gereza la Butimba.