Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Lissu alidanganywa na comedians waliojazana bila kujiandikisha, na hata waliojiandikisha hawakujitokeza kupiga kura, nilikua mwangalizi eneo Fulani, ni wazee wengi na wamama ndio waliojazana kupiga kura.
Hahaha Dogo skia kama kura zimeibiwa ni kwa wabunge lakini sio urais

Jamaa kashinda kihaki kabisa
Hivi kwanini hamjaandamana kama unaona mlionewa?
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Unailinganisha Iran na Tanzania.
 
Mbona Ya Kwao Yanawashinda? Au Hao Watu Weusi Wanaouawa Kwao Si Binadamu Wanaostahili Haki?
 
Lissu alidanganywa na comedians waliojazana bila kujiandikisha, na hata waliojiandikisha hawakujitokeza kupiga kura, nilikua mwangalizi eneo Fulani, ni wazee wengi na wamama ndio waliojazana kupiga kura.

Je, kama hilo eneo majority of the population ni wazee? Unajua kwamba kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania asilimia kubwa ni wazee au wanawake? Kwa mfano mimi nimewahi kuishi namtumbo huko Songea asilimia kubwa ya population ya pale ni wazee, wanawake na watoto.
 
Wameshindwa kufanya uchaguzi huru na wa haki kwao wanataka kutupandikizia mamlukiii!!!Hatutakiiiii!
 
Ukiona Mataifa makubwa yanaanza kutoatoa matamko kwenye nchi yako tambua umeshakomaa na una kitu wanachokitaka au wanafaidi toka kwako, na wakati mwingine ni utaratibu wa kidunia kupiga Mkwala.
 
Yaani hawa wenye uchaguzi kesho wawe bize na taifa ambalo hata halijulikani ulimwenguni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Hii nchi ni ya shangazi yako? Huna haki ya kumpangia mtu aishi wapi.

Jifunze kuwa thoughtful. Una akili ndogo mno
 
You have your own election, just deal with your own business, by the way are we allowed to interfere your election and give orders after the election?
to have your own election does not give you authority to kill others,who gave you authority to grab other's rights. Even you kill your own son,you will be held responsible. You must observe human rights
 
Kwa Vigezo vya Mabeberu wa Kimarekani, Sie Tanzania tuna ukiukwaji Mkubwa wa Demokrasia na haki za Binadamu kuliko Mashoga zao wa Saudia


Sie na Magufuli wetu wao na kina Pompeo wao!

2025 Inshallah wataambulia Asilimia 1 ya kura zote wakashtaki tena
Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sana
mwisho wao unajulikana
subiri kidigo Ndio utajua maana ya Mabeberu
huyo Magu sasa Hivi tumbo joto
 
Niliye m'quote ndio amekutuma uje unitukane?

Haya changanyeni matako nendeni kashilikianeni Kwenye Ofisi zao sio humu
Usiwe mpumbavu Nenda kashiliki kwa vitendo sio Maandishi
Umevamia jukwaa kwa pupa sana pimbi wewe!

Kajifunze kwanza kuandika! 'kashiliki' ndio nini sasa?
 
Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui
Hahaha ndivyo nyani mnavyojidanganya? huyo mungu wa biblia aliletwa afrika na haohao wazungu nyie jifanyeni mnamjua kuliko wao waliomtunga.
 
Mbona husemi Raia wa hizo Nchi baada ya kufanikiwa kuwatoa hao Majeuri husemi hali zao sasa zikoje?
Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sana
mwisho wao unajulikana
subiri kidigo Ndio utajua maana ya Mabeberu
huyo Magu sasa Hivi tumbo joto
 
Mimi ni mwana CCM kondaki ndaki nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana, Lakini hatuna amani hatunabfuraha na ushindi.

Ushindi wenyewe umetawaliwa na Dhuruma wizi ,ubabe , chuki nk.

CCM HATUNA FURAHA NA MATOKEO YA UCHAGUZI HUU.
MAGUFULI AMEHARIBU NCHI.
 
Back
Top Bottom