Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
Hahaha Dogo skia kama kura zimeibiwa ni kwa wabunge lakini sio urais
Jamaa kashinda kihaki kabisa
Hivi kwanini hamjaandamana kama unaona mlionewa?
Unailinganisha Iran na Tanzania.Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Lissu alidanganywa na comedians waliojazana bila kujiandikisha, na hata waliojiandikisha hawakujitokeza kupiga kura, nilikua mwangalizi eneo Fulani, ni wazee wengi na wamama ndio waliojazana kupiga kura.
Unaweza ukawachunguza na kuwawekea vikwazo. HawajakazaHao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Bora wazungu watutawale tenaAfrica imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Mkuu acha iwe hivyo nikonde. nimekuwa bonge sanamkuu ukipost hivo faraja inakuja?, au bado maumivu tu? Nakushauri achana na kina lissu mkuu,watakukondesha
Hii nchi ni ya shangazi yako? Huna haki ya kumpangia mtu aishi wapi.Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
to have your own election does not give you authority to kill others,who gave you authority to grab other's rights. Even you kill your own son,you will be held responsible. You must observe human rightsYou have your own election, just deal with your own business, by the way are we allowed to interfere your election and give orders after the election?
Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sanaKwa Vigezo vya Mabeberu wa Kimarekani, Sie Tanzania tuna ukiukwaji Mkubwa wa Demokrasia na haki za Binadamu kuliko Mashoga zao wa Saudia
Sie na Magufuli wetu wao na kina Pompeo wao!
2025 Inshallah wataambulia Asilimia 1 ya kura zote wakashtaki tena
Ni lini wazungu waliacha kuisema vibaya Africa?Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Umevamia jukwaa kwa pupa sana pimbi wewe!Niliye m'quote ndio amekutuma uje unitukane?
Haya changanyeni matako nendeni kashilikianeni Kwenye Ofisi zao sio humu
Usiwe mpumbavu Nenda kashiliki kwa vitendo sio Maandishi
Hahaha ndivyo nyani mnavyojidanganya? huyo mungu wa biblia aliletwa afrika na haohao wazungu nyie jifanyeni mnamjua kuliko wao waliomtunga.Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui
Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sana
mwisho wao unajulikana
subiri kidigo Ndio utajua maana ya Mabeberu
huyo Magu sasa Hivi tumbo joto
Jifunze kuandika!Sababu zipo fatilia vizuri Kijana
Sio Hizo unazo fikilia