BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wananchi wamemkataa Lissu na waliomtuma. Tumewakataa kwenye sanduku la kura ila pia tumewakataa barabarani kwenye maandamano. US tuacheni huru ndo tulivoamua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It better wakatuacha tu. Sisi wenyewe tutaelewanaWananchi wamemkataa lissu na waliomtuma. Tumewakataa kwenye sanduku la kura ila pia tumewakataa barabarani kwenye maandamano. US tuacheni huru ndo tulivoamua.
Kwa marekani ikiwapa misaada ya pesa huwa masikini wamekwisha kwao? Kukosoana si lazima mkosoaji awe malaikaWao Wenyewe wana Uchaguzi leo na wanamuibia kura hadi Rais aliepo madarakani Trump analalamikia 'mitama' ya kura kwa njia ya posta iliyoandaliwa.
October 28 waelewe tumechagua Rais wa Tanzania sio Balozi wa Marekani Nchini.
Tanzania hakuna uhuru ndiyo maana BOT imewapora watu kwa kutumia Sheria za America ingekuwa huru wasingekuwa wanawapora watu pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha, Nchi huru hakuna kubambikiwa kesi kesi hovyo, Nchi huru kuna HakiUhuru wetu kama nchi ni muhimu sana kuliko hao Wamarekani na hao Vibaraka wao. Tutaendelea kupambana kama kawaida.
Taifa la Mungu viongozi wanatenda ya shetani. Kweli siku hizi jina la Mungu linachezewa, hasa tangu huyu mtenda dhambi mkubwa anayejifanya kusimama kwenye madhahabu za makanisa kila kukicha huku akijifanya kusema ''niombeeni''.Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Pambana la ndondi bondia wa CCM ana 120 kg vs Bondia wa Chadema mwenye 49 kg, na refa wasimamizi wote wa CCM, kabla pambano lianze yule Bondia wa chadema anafungwa pingu mikononi kwa nyuma licha ya kuwa na uzuto Mdogo kisha pambano linaanza huku Bondia wa CCM super heavy akiwa Huru, hilo utaita ni pambano huru na haki? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani.Wimbo wa Amsterdam ft. Lissu umeshuka kutoka nafasi ya kwanza kwenye chati ya top ten ya wiki hii hadi nafasi ya 8, sasa ni Commonwealth , USA Embassy na White House..hahahahaha! KAdema nje ya mitandao ya kijammi ni wepesi sana, mkimaliza USA, UK, nenda kwenye matambiko...
Siku hizi mbona hakuna tena matamko mfululizo kutoka chadema?
Alitumwa aingie ulingoni tulieni masumbwi yaingie.Pambana la ndondi bondia wa CCM ana 120 kg vs Bondia wa chadema mwenye 49 kg, na refa wasimamizi wote wa CCM, kabla pambano lianze yule Bondia wa chadema anafungwa pingu mikononi kwa nyuma licha ya kuwa na uzuto Mdogo kisha pambano linaanza huku Bondia wa CCM super heavy akiwa Huru, hilo utaita ni pambano huru na haki? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
Sasa mzalendo anayeombewa Tanzania huwabambikia kesi wapinzani huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kupitia TRA huwapa kesi za uonevu na kupora pesa mali zao kwa njia haramu za kishetani, huyo mtu hakosi kanisani kila jumapili na kila mara huomba aombweeTaifa la Mungu viongozi wanatenda ya shetani. Kweli siku hizi jina la Mungu linachezewa, hasa tangu huyu mtenda dhambi mkubwa anayejifanya kusimama kwenye madhahabu za makanisa kila kukicha huku akijifanya kusema ''niombeeni''.
Maendeleo yapi? Hakuna maendeleo Tanzania licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa zote za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema badala ya maendeleo.Alitumwa aingie ulingoni tulieni masumbwi yaingie.
Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.
URT - JPM
SMZ- Mwinyi
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Na kuunajisi kuubaka kabisaSafari hii CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi
Ukitaka kujua Akili za waafrika inyeshe mvua barabarani kuwe na foleni na hakuna Trafik kila Gari inaanza kutanua mpaka wanaziba njia za kutoka kuingia, cha kushangaza unakuta mtu anayetanua ni yule hujiita msomi mwenye degree nyingi kichwani na darasa la saba katulia anafuata foleni taratibu.Nimewehi kusema hapa "Waafrica sisi ni watu wenye roho mbaya sana kama mzungu asingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku! Mzungu ni mtu makini linapokuja swala la ustaarabu...!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
You can say again and again! Ni kweli kabisa.Sasa mzalendo anayeombewa Tanzania huwabambikia kesi wapinzani huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kupitia TRA huwapa kesi za uonevu na kupora pesa mali zao kwa njia haramu za kishetani, huyo mtu hakosi kanisani kila jumapili na kila mara huomba aombwee
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya huwa ni Aibu kubwa, walikuwepo akina Nkurunzinza wa Burundi, mabutu wa zaire Elbashiri wa Sudan, Iddy Amin dada wa Uganda, Bokasa wa Africa ya kati, chiluba wa Zambia, Abacha wa Nigeria na wenzao madikteta zaidi leo hii wapo wapi?Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sana
mwisho wao unajulikana
subiri kidigo Ndio utajua maana ya Mabeberu
huyo Magu sasa Hivi tumbo joto
Mkienda kuomba omba misaada America mnapiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wenu mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeNi Kwa kosa lipi la kuwawajibisha watu wetu?
Ni Kwa sababu tumekataa kuwa watumwa Chini ya mwamvuli wao Tundo siyo?
Na ole waseme hicho wanachotaka kusema, Corona italamba mpaka Ikulu yao
Wewe si upo kwenye keyboard pia inatosha kupeleka ujumbe kwa mtukufu malaika tokea Chato kuwa licha ya kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi bado hawawezi kukwepa manung’uniko mengi tokea kote ulimwenguni.Mboga Saba nyingine hiii Hahahaa, mnatamba kwenye Keyboards Kwenye Battlefield Hamwonekani. Unajua Maana yake in Simple UNAFKI mnaambiwa mkaandamane mmetulia tu kwa sababu hammanishi mnachokihubiri so Tulieni
jiwe ataongezewa muhura wa tatu. Hujafikiria ni kwa nn amepittisha wabunge wa chama chake tu? Chr ataimalizia hata msim wa tatu.Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Hivi wewe dogo huwa hauna kabisa kazi za kufanya eeeh🤔? Maana kutwa nzima mpaka usiku kazi yako ni kujibizana tu humu jF.Mkienda kuomba omba misaada America mnapiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wenu mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike