Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Wananchi wamemkataa Lissu na waliomtuma. Tumewakataa kwenye sanduku la kura ila pia tumewakataa barabarani kwenye maandamano. US tuacheni huru ndo tulivoamua.
 
Wananchi wamemkataa lissu na waliomtuma. Tumewakataa kwenye sanduku la kura ila pia tumewakataa barabarani kwenye maandamano. US tuacheni huru ndo tulivoamua.
It better wakatuacha tu. Sisi wenyewe tutaelewana
 
Wao Wenyewe wana Uchaguzi leo na wanamuibia kura hadi Rais aliepo madarakani Trump analalamikia 'mitama' ya kura kwa njia ya posta iliyoandaliwa.

October 28 waelewe tumechagua Rais wa Tanzania sio Balozi wa Marekani Nchini.
Kwa marekani ikiwapa misaada ya pesa huwa masikini wamekwisha kwao? Kukosoana si lazima mkosoaji awe malaika
 
Uhuru wetu kama nchi ni muhimu sana kuliko hao Wamarekani na hao Vibaraka wao. Tutaendelea kupambana kama kawaida.
Tanzania hakuna uhuru ndiyo maana BOT imewapora watu kwa kutumia Sheria za America ingekuwa huru wasingekuwa wanawapora watu pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha, Nchi huru hakuna kubambikiwa kesi kesi hovyo, Nchi huru kuna Haki
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.

Walishindwa Syria.

Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.

Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Taifa la Mungu viongozi wanatenda ya shetani. Kweli siku hizi jina la Mungu linachezewa, hasa tangu huyu mtenda dhambi mkubwa anayejifanya kusimama kwenye madhahabu za makanisa kila kukicha huku akijifanya kusema ''niombeeni''.
 
Wimbo wa Amsterdam ft. Lissu umeshuka kutoka nafasi ya kwanza kwenye chati ya top ten ya wiki hii hadi nafasi ya 8, sasa ni Commonwealth , USA Embassy na White House..hahahahaha! KAdema nje ya mitandao ya kijammi ni wepesi sana, mkimaliza USA, UK, nenda kwenye matambiko...
Siku hizi mbona hakuna tena matamko mfululizo kutoka chadema?
Pambana la ndondi bondia wa CCM ana 120 kg vs Bondia wa Chadema mwenye 49 kg, na refa wasimamizi wote wa CCM, kabla pambano lianze yule Bondia wa chadema anafungwa pingu mikononi kwa nyuma licha ya kuwa na uzuto Mdogo kisha pambano linaanza huku Bondia wa CCM super heavy akiwa Huru, hilo utaita ni pambano huru na haki? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani.
 
Pambana la ndondi bondia wa CCM ana 120 kg vs Bondia wa chadema mwenye 49 kg, na refa wasimamizi wote wa CCM, kabla pambano lianze yule Bondia wa chadema anafungwa pingu mikononi kwa nyuma licha ya kuwa na uzuto Mdogo kisha pambano linaanza huku Bondia wa CCM super heavy akiwa Huru, hilo utaita ni pambano huru na haki? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
Alitumwa aingie ulingoni tulieni masumbwi yaingie.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mleta uzi rekebisha kidogo, hii sio statement ya Whitehouse.

Hii taarifa imetoka US State Department.
 
Taifa la Mungu viongozi wanatenda ya shetani. Kweli siku hizi jina la Mungu linachezewa, hasa tangu huyu mtenda dhambi mkubwa anayejifanya kusimama kwenye madhahabu za makanisa kila kukicha huku akijifanya kusema ''niombeeni''.
Sasa mzalendo anayeombewa Tanzania huwabambikia kesi wapinzani huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kupitia TRA huwapa kesi za uonevu na kupora pesa mali zao kwa njia haramu za kishetani, huyo mtu hakosi kanisani kila jumapili na kila mara huomba aombwee
 
Alitumwa aingie ulingoni tulieni masumbwi yaingie.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Maendeleo yapi? Hakuna maendeleo Tanzania licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa zote za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema badala ya maendeleo.
 
Nimewehi kusema hapa "Waafrica sisi ni watu wenye roho mbaya sana kama mzungu asingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku! Mzungu ni mtu makini linapokuja swala la ustaarabu...!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua Akili za waafrika inyeshe mvua barabarani kuwe na foleni na hakuna Trafik kila Gari inaanza kutanua mpaka wanaziba njia za kutoka kuingia, cha kushangaza unakuta mtu anayetanua ni yule hujiita msomi mwenye degree nyingi kichwani na darasa la saba katulia anafuata foleni taratibu.
 
Sasa mzalendo anayeombewa Tanzania huwabambikia kesi wapinzani huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kupitia TRA huwapa kesi za uonevu na kupora pesa mali zao kwa njia haramu za kishetani, huyo mtu hakosi kanisani kila jumapili na kila mara huomba aombwee
You can say again and again! Ni kweli kabisa.
 
What these people are saying is exactly what they are doing in the US now, this 03/11/2020 Election day! I strongly urge you guys to try as much as you can to put your house in order before indulging in other peoples' houses. We do not care what you say or judge about our GE, what we know is that you will never say anything positive about us, as a sovereign that is trying to LIBERATE ITSELF FROM YOUR "RULE" and intimidations. PERIOD!
 
Gaddafi na Sadam walikua wajeuri sana
mwisho wao unajulikana
subiri kidigo Ndio utajua maana ya Mabeberu
huyo Magu sasa Hivi tumbo joto
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya huwa ni Aibu kubwa, walikuwepo akina Nkurunzinza wa Burundi, mabutu wa zaire Elbashiri wa Sudan, Iddy Amin dada wa Uganda, Bokasa wa Africa ya kati, chiluba wa Zambia, Abacha wa Nigeria na wenzao madikteta zaidi leo hii wapo wapi?
 
Ni Kwa kosa lipi la kuwawajibisha watu wetu?

Ni Kwa sababu tumekataa kuwa watumwa Chini ya mwamvuli wao Tundo siyo?

Na ole waseme hicho wanachotaka kusema, Corona italamba mpaka Ikulu yao
Mkienda kuomba omba misaada America mnapiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wenu mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Mboga Saba nyingine hiii Hahahaa, mnatamba kwenye Keyboards Kwenye Battlefield Hamwonekani. Unajua Maana yake in Simple UNAFKI mnaambiwa mkaandamane mmetulia tu kwa sababu hammanishi mnachokihubiri so Tulieni
Wewe si upo kwenye keyboard pia inatosha kupeleka ujumbe kwa mtukufu malaika tokea Chato kuwa licha ya kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi bado hawawezi kukwepa manung’uniko mengi tokea kote ulimwenguni.
 
Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
jiwe ataongezewa muhura wa tatu. Hujafikiria ni kwa nn amepittisha wabunge wa chama chake tu? Chr ataimalizia hata msim wa tatu.
 
Mkienda kuomba omba misaada America mnapiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wenu mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
Hivi wewe dogo huwa hauna kabisa kazi za kufanya eeeh🤔? Maana kutwa nzima mpaka usiku kazi yako ni kujibizana tu humu jF.

Jamani hebu tafuteni kazi za kufanya bwana, kupiga kwenu kelele humu hakusaidii chochote, na hii jobless status mliyonayo haitaondoka kwa style hii, hata kama atakuja nani kuwatawala.

Acheni ujinga na upumbavu, fanyeni kazi vijana.
 
Back
Top Bottom