Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Hakuna yeyote atakaye niambia nihamie Marekani wakati nimezaliwa Matombo. Haki zatu tutazipigania humuhumu, Tanzania yenye Uhuru wa kuchagua kiongozi tunaye mtaka kwa usimamizi wa tume huru tutapigania tukiwa humuhumu maana ndo kwetu.
 
Tanzania hatutawaliwi na tuna misimamo yetu mbona kwao hawasemi chochote uchaguzi wao.
 
Niliye m'quote ndio amekutuma uje unitukane?

Haya changanyeni matako nendeni kashilikianeni Kwenye Ofisi zao sio humu
Usiwe mpumbavu Nenda kashiliki kwa vitendo sio Maandishi
Yani Lissu ndo kichwa umepotea kweli mana mtu ambae anataka kuweka rehani madini yetu na kuweka umajimbo
 
Africa pia kumejaa watumia fursa kujinufaisha binafsi, Mfano sasa kwenye utawala huu wenye mamlaka wakitaka kumkomoa yeyote humfanyizia Kwa njia zozote ili wapate Rushwa au wampore chake aina hii ya utawala ndiyo hufanya Afrika kuonekana ya hovyo.
 
Trip hii kipofu kashikwa mkono 😂😂😂 lazma kelele ziwepo
 
Kwani hayo makampuni ya kinyonyaji ya mabeberu nani aliyakaribisha TANZANIA ? Sio SEREKALI YA CCM? SIO?
Nani wa kulaumiwa ?
CHADEMA?
ACT WAZALENDO?
hivi leo CHADEMA ndio mawakala wa mabeberu .
Maajabu hayaaa
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Kabisa, watu weusi ni tatizo kwenye hii dunia. Hebu angalia yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura yaliyofanyika kwenye uchaguzi wetu juzi.

Wazungu kama ni kweli, wachukulie hatua hawa watu weusi wa CCM, na tutawaunga mkono, maana 2/3 ya Watanzania hatujapiga kura kuepuka kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi.
 
Tutaifanya hii nchi iwe free, hapahapa na tunasaidiana na wamarekani. Tulikuwa hatuna mtu kama lisu sasa tuaye. Na tupo wengi kweli. Wote ni vichwa kama lisu. Msifikirie huu ni utani.
Usije kuwa huna hata kazi wewe labda chamuhimu kaombe hela kwa hao wamarekani nao pia leo wanajambo lao uone Lisu atasemaje au hamfahamiki huku America nyinyi Wasomi Uchwara
 
Unaweza kututhibitishia kama kuna wizi umetokea?

Udhibitishiwe ww kama nani, au unataka kupima upepo tuna ushahidi kiasi gani wa wizi wenu? Umejiunga hapa jukwaani mwaka huu kuja kutetea huu utoto? Kila uchafu uliofanyika tumeuona tambua hilo. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
 
Marekani imesema itawawekea vikwazo vya kusafiri watu waliohusika kuleta vurugu kwenye uchaguzi. HII SI IMEISHA. vikwazo vya kusafiri, kwamba mfano rutayuga akiwekewa vikwazo vya kusafiri hasara gani tunapata TANZANIA. None MAREKANI wameshajiona kuwa WAKITUWEKEA NGUMU WANAJUA SISI TUTAKIMBILIA KWA CHINA ndio maana nao wamekuwa WAPOLE. TUSAHAU YALIYOPITA TUJENGE NCHI YETU. trust me USA hawataingilia SHERIA ZA nchi hii.
 
Sahihi kabisa. Kuna watu wanajipendekeza hadi aibu

Kama nyinyi mnavyojipendekeza kwenye vyombo vya dola, ili mkae madarakani kwa wizi wa kura. Hatuwafagilii wazungu, ila tutawaunga mkono wakiwachukulia hatua kali madhalimu wote.
 
Imeisha hiyooooo. Joe Biden anachukua nchi na hao manyang"au yote yanatumbuliwa, pumbavu kabisa.
 
Matamko yametosha tunataka vitendo sasa, watu bado wanakamatwa
 
Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Bora Marekani watutetee maana tumebaki yatima
 
. Ile unajamba mwenyewe afu unaziba pua 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…