KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wengine hatuna Hoby ya safari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna yeyote atakaye niambia nihamie Marekani wakati nimezaliwa Matombo. Haki zatu tutazipigania humuhumu, Tanzania yenye Uhuru wa kuchagua kiongozi tunaye mtaka kwa usimamizi wa tume huru tutapigania tukiwa humuhumu maana ndo kwetu.Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Tanzania hatutawaliwi na tuna misimamo yetu mbona kwao hawasemi chochote uchaguzi wao.Yaani hawa mabeberu wana wasi wasi kama kweli tunathamini demokrasia. Pia wana imani kuwa mazagazaga na utumiaji nguvu uliotokea kwenye uchaguzi wetu umechangia ushindi wa CCM. Kwa lugha rahisi hawa amini kuwa CCM ilishinda uchaguzi huo.
Kwa lugha rahisi hawa ni wa kupuuzwa, lakini kumpuuza kaka mkubwa ni kujitakia madhara makubwa ambayo hujui yanatokea wapi. Tusipokuwa na mikakati naona tutawaunga zimbabwe na sijui nani atatutetea.
Yani Lissu ndo kichwa umepotea kweli mana mtu ambae anataka kuweka rehani madini yetu na kuweka umajimboNiliye m'quote ndio amekutuma uje unitukane?
Haya changanyeni matako nendeni kashilikianeni Kwenye Ofisi zao sio humu
Usiwe mpumbavu Nenda kashiliki kwa vitendo sio Maandishi
Africa pia kumejaa watumia fursa kujinufaisha binafsi, Mfano sasa kwenye utawala huu wenye mamlaka wakitaka kumkomoa yeyote humfanyizia Kwa njia zozote ili wapate Rushwa au wampore chake aina hii ya utawala ndiyo hufanya Afrika kuonekana ya hovyo.Kwa ujumla, Wazungu wana ubinadamu maradufu ya waafrika. Uovu upo Duniani kote lakini kuna tofauti kubwa katika kuushughulikia.
AFRICA uovu mkubwa unafanywa na serikali dhidi ya watu wake, na unalindwa na watawala na dola
WAZUNGU uovu unafanywa na watu binafsi, unapigwa vita na Serikali. Na kama itatokea umefanywa na serikali, hauwezi kuwa dhidi ya watu wao.
Wazungu watazidi kubarikiwa kwa sababu kwa kiasi kikubwa wanaishi kwa kuitafuta na kuilinda haki.
Waafrika tutazidi kulaanika kwa sababu mara nyingi tunahangaika kuua haki.
Tunawaombea wazungu, na tutawashukuru sana kila watakapofanya jitihada za kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongozwa kwa haki kuliko kuifanya nchi kuwa dangulo la kuulia haki na uhuru kama ilivyo awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hayo makampuni ya kinyonyaji ya mabeberu nani aliyakaribisha TANZANIA ? Sio SEREKALI YA CCM? SIO?America should first review their own democracy in which Russia has always had a big role,, so review the Russian involvements in your so called thieves gateway democracy Tanzania is for Tanzanians we know your interests are just to be able to exploit our resources for free you have done it everywhere, Iraq, Libya Syria Afghanstan and you killed our great African brother Gadafi just for their petrol and now those stupid Libyans you used in the pretext of democracy are eating dust while you have their petrol,,, Leave Tanzania alone and we have shown you thieves that we are awake now,,Stop telling us about your democracy we are defending our SWEET RESOURCES not thieves gateway democracy simple You defend your gangster rules and we defend our most loved leaders who defend our resources
Kabisa, watu weusi ni tatizo kwenye hii dunia. Hebu angalia yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura yaliyofanyika kwenye uchaguzi wetu juzi.Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Usije kuwa huna hata kazi wewe labda chamuhimu kaombe hela kwa hao wamarekani nao pia leo wanajambo lao uone Lisu atasemaje au hamfahamiki huku America nyinyi Wasomi UchwaraTutaifanya hii nchi iwe free, hapahapa na tunasaidiana na wamarekani. Tulikuwa hatuna mtu kama lisu sasa tuaye. Na tupo wengi kweli. Wote ni vichwa kama lisu. Msifikirie huu ni utani.
Unaweza kututhibitishia kama kuna wizi umetokea?
Sahihi kabisa. Kuna watu wanajipendekeza hadi aibu
Bora Marekani watutetee maana tumebaki yatimaHawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Mpaka ERV tutanyimwaHili si CCM wameshinda kwa haki Sasa Mambo ya Mungu yanatokea wapi
Ninachokiona hapa ni kuwa kuna mtikisiko tutapata tu
. Ile unajamba mwenyewe afu unaziba pua 🤣🤣🤣🤣Udhibitishiwe ww kama nani, au unataka kupima upepo tuna ushahidi kiasi gani wa wizi wenu? Umejiunga hapa jukwaani mwaka huu kuja kutetea huu utoto? Kila uchafu uliofanyika tumeuona tambua hilo. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.