HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ipo siku tutawakazia wasiamini macho yao.... Sudan waliwezaNakuambia ipo siku tutaamka wenyewe na hali itakuwa mbaya zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku tutawakazia wasiamini macho yao.... Sudan waliwezaNakuambia ipo siku tutaamka wenyewe na hali itakuwa mbaya zaidi
Hujiamini bweg wewHawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
KabisaIpo siku tutawakazia wasiamini macho yao.... Sudan waliweza
Huna hatimiliki ya nchi hii mpaka umtake mwenzio ahamie US. Ana hakinkikatiba kutoa maoni na hisia zake. Mtu muovu utamjua tu.Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Kuliko hata israel iliyotajwa kwa bibliaYes taifa la Mungu kuliko mataifa yote duniani hahaha.
Ila hawana lolote watakalofanya zaidi ya kuwekwa vikwazo tu.
Lakini pia Trump mbona naye tu kama mzee baba, ana moral authority ya kuhoji hili?
Corona ??Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
Miafrika ndivyo ilivyo, hasa mitawala.....ina akili za kinyaninyani!Afrika imejaa unafiki, acha wazungu waseme.
Jibu hoja......acha kujitekenya na kucheka mwenyewe. Mkuu OKW BOBAN SUNZU kaweka hoja mezani ili ijadiliwe. Sasa suala la uraia wake na umarekani linakujaje hapa? Kama huna hoja si uende ukalale mkuu?Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Sikiliza audio hii hapa chini.
Mungu hajawahi kua na tabia za ccm za wizi,ufisadi,mauaji,visasi.huyo mungu wenu itakua mungu wa chato,punguani wahedSahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
Soma historia Tanzania hatuanza leo kuwa misimamo wakati wa Nyerere wamarekani walipata tabu sana. Wakati huu si wa kumtetemekea mmarekani. Akiweka vikwazo tunaingia kwenye block za waliwekewa vikwazo tunafanya biashara.Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Heri ni tete wizi wa kuliñda maslahi ya taifa kuliko kutetea ushoga na madalali wa mali zetu. Magufuli hata kwa kura moja tungemfanya raisi.Kuna watu humu wanajitoa akili, au ndiyo akili zoo, kweli unadiriki kuutetea wizi na unyama uliofanyika bila kificho, kweli sisi waafrika tuna matatizo ya akili