Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Hujiamini bweg wew
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Huna hatimiliki ya nchi hii mpaka umtake mwenzio ahamie US. Ana hakinkikatiba kutoa maoni na hisia zake. Mtu muovu utamjua tu.

Unakosaje uvumilivu kwa mtu unayepishana naye mtazamo!!!?? Tumeumbwa tofauti na Mungu mwenyewe, usilazimishe tuwaze sawa.
 
Ila hawana lolote watakalofanya zaidi ya kuwekwa vikwazo tu.

Lakini pia Trump mbona naye tu kama mzee baba, ana moral authority ya kuhoji hili?

Tunamtegemea kwa vitu vingi hat ARV na vaccines. Ana uhalali wa kuhoji siku zote baba aki provide pesa na akaona mambo hayaendi kama anavyotaka lazima ahoji mama na watoto.
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Jibu hoja......acha kujitekenya na kucheka mwenyewe. Mkuu OKW BOBAN SUNZU kaweka hoja mezani ili ijadiliwe. Sasa suala la uraia wake na umarekani linakujaje hapa? Kama huna hoja si uende ukalale mkuu?
 
Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
Mungu hajawahi kua na tabia za ccm za wizi,ufisadi,mauaji,visasi.huyo mungu wenu itakua mungu wa chato,punguani wahed
 
Sisi tumemchagua mpinzani wa mabeberu hatujamchagua mpinzani wa Magufuli.

Imeisha hiyo. Acha kazi iendelee.

MAGUFULI4LIFE.
 
Wajinga kabisa hao. Wao ndo vinara wa kuwabagua watu weusi.
Waanze kuzikosoa kwanza SAUD ARABIA, CHINA, URUSI. Au kama wao ni wababe waende kupambana na KOREA YA KASKAZINI waone kama hawajaliwa utumbo wangali wanatembea.
 
America, Tanzania is not part of USA's territory. We can dictate your foreign policy, however, you should at least respect our sovereignty.
Take time to deal with corona within your within your territory to save life of your subjects.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Soma historia Tanzania hatuanza leo kuwa misimamo wakati wa Nyerere wamarekani walipata tabu sana. Wakati huu si wa kumtetemekea mmarekani. Akiweka vikwazo tunaingia kwenye block za waliwekewa vikwazo tunafanya biashara.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
marekani View attachment 1619038
20201103_230806.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu wanajitoa akili, au ndiyo akili zoo, kweli unadiriki kuutetea wizi na unyama uliofanyika bila kificho, kweli sisi waafrika tuna matatizo ya akili
Heri ni tete wizi wa kuliñda maslahi ya taifa kuliko kutetea ushoga na madalali wa mali zetu. Magufuli hata kwa kura moja tungemfanya raisi.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom