Binti Sayuni Tz
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 156
- 238
Usiifananishe Tanzania na Zimbabwe. Tanzania. Tanzania ni multi alignment state wakifunga Magharibi wanafunga tunaendelea na Mashariki.Yaani hawa mabeberu wana wasi wasi kama kweli tunathamini demokrasia. Pia wana imani kuwa mazagazaga na utumiaji nguvu uliotokea kwenye uchaguzi wetu umechangia ushindi wa CCM. Kwa lugha rahisi hawa amini kuwa CCM ilishinda uchaguzi huo.
Kwa lugha rahisi hawa ni wa kupuuzwa, lakini kumpuuza kaka mkubwa ni kujitakia madhara makubwa ambayo hujui yanatokea wapi. Tusipokuwa na mikakati naona tutawaunga zimbabwe na sijui nani atatutetea.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app