Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Yaani hawa mabeberu wana wasi wasi kama kweli tunathamini demokrasia. Pia wana imani kuwa mazagazaga na utumiaji nguvu uliotokea kwenye uchaguzi wetu umechangia ushindi wa CCM. Kwa lugha rahisi hawa amini kuwa CCM ilishinda uchaguzi huo.

Kwa lugha rahisi hawa ni wa kupuuzwa, lakini kumpuuza kaka mkubwa ni kujitakia madhara makubwa ambayo hujui yanatokea wapi. Tusipokuwa na mikakati naona tutawaunga zimbabwe na sijui nani atatutetea.
Usiifananishe Tanzania na Zimbabwe. Tanzania. Tanzania ni multi alignment state wakifunga Magharibi wanafunga tunaendelea na Mashariki.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Marekani tayari nao zimekamatwa KURA FEKI.., TUANZIE HAPo sasa . Nao wanajibuje kuhusu hizo kura feki zao kwa mujibu wa picha iliyotumwa na @proven_right leo
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Ukitaka kujua misukule ya CCM lugha hizi, kwa maana mnaona wenye hatimiliki ya nchi hii ni CCM na nyie misukule yao wengine wahame nchi. Pumbavu wa kiwango cha lami
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Unaona hapo una hoja ya kuhalalisha CCM kuua, kupiga na kuwatesa watanzania wenye itikadi tofauti nao? Very poor reasoning, kwa nini CCM wengi mnakuwa hamnazo?
 
Eti wananifanya kutusemea Watanzania( Tanzanian People) yaani wao wanajifanya wanaumia kuliko sisi, Wanafiki Waheed hawa, wazungu ni Umbwa yaani na hawajahi na hawatawahi kutupenda
 
Slavery mentality. Waambie waje watuvamie ili wakupe wewe urais tuone kama utadumu hata mwaka mmoja kabla hatujakutia kerebu ya nguvu.

Wanachoweza kufanya ni kutunyima misaada yao. Sisi tutaendelea na kazi kama kawaida hatutishwi walishatunyima misaada tena siku za nyuma wakati wa Nyerere lakini tuliendelea kama kawaida as long as kuna nchi na jumuia za kimataifa zimeutambua uchaguzi wetu kuwa ulikuwa huru na haki US waendelee tu kupiga kelele watakavyo kwa kuwa vibaraka wao hawakupata kura kama ambavyo walitegemea watz wamewanyoosha.
Kila beberu lina agenda nyumba ya uchaguzi wa kiafrika ila linaloniuma sana ni maluhani wenzetu wanaodhani wanapendwa sana
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?

Pamoja na kujenga ile barabara ya kule kwa Pinda ndo hao hao wanaojenga na kutusomeshea watoto wetu kwa kutoa dollar 300 milioni kila mwaka bila kusahau ARV
 
Eti wananifanya kutusemea Watanzania( Tanzanian People) yaani wao wanajifanya wanaumia kuliko sisi, Wanafiki Waheed hawa, wazungu ni Umbwa yaani na hawajahi na hawatawahi kutupenda
The reason is that in the Western model no policy or public engagement about where a country stands or its future is more important than a democratic poll.
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.

Walishindwa Syria.

Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.

Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
N ndio hawa hawa kukicha wanawauwa Wamerkani wenzao weusi kukicha, na kama hakungekuwa na kelele na maandamano kwao, wasinge hata kuwachukulia hatua wale polisi wauaji weupe?!
Wauaji wakubwa wa Wahindi wekundu, Latino, weusi na wepesi kuvamia nchi za watu kupora ralisilimali na maliasili!
Kweli nyani haoni kundule...!
 
Kweli JPM amejua kutufurahisha, kawakamata kunako, alishawatenga kitambo kabla hata hamjamtenga, hababaishwi na viza zenu.
Kwani Magu anajua kiingereza? Udhaifu wake ndiyo uliomtenga.
 
Wajinga kabisa hao. Wao ndo vinara wa kuwabagua watu weusi.
Waanze kuzikosoa kwanza SAUD ARABIA, CHINA, URUSI. Au kama wao ni wababe waende kupambana na KOREA YA KASKAZINI waone kama hawajaliwa utumbo wangali wanatembea.
Huko nendeni nyinyi wao wanadeal na nyinyi wezi wa kura
 
Mbona Marekani tayari nao zimekamatwa KURA FEKI.., TUANZIE HAPo sasa . Nao wanajibuje kuhusu hizo kura feki zao kwa mujibu wa picha iliyotumwa na @proven_right leo
Sasa ikulu yetu itoe tamko kwenye hilo kama wao walivyofanya
 
Back
Top Bottom