Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Haya mambo yanataka utaalam sio pumba za kikombe cha babu, sio huyo tu wa Madagascar yaani waliotangaza dawa ni wengi tu, lakini mpaka ikubalike lazima ielezwe kwa misingi ya kisayansi.

Kama ukitangaza dawa yako na ikaponya mpaka wagonjwa mahtuti unahitaji sayansi ya nn? Sema waliotangataza dawa zao hazikuonyesha uponyaji!.
 

Dawa imetangazwa ufaulu na uwezo wake, kinachofuatia ni kuruhusiwa matumizi yake kwa dharula, kawaida kukiwa na pandemic inayoua watu wengi kuna baadhi ya mambo hufanywa kwa dharula na kupunguza urasimu.
Hivi unajua mpaka chanjo ikubalike kutumika kikawaida huchukua hata miaka, lakini ya Corona inakusudiwa kuchukua chini ya hapo maana sheria zipo kwa ajili ya binadamu na sio binadamu kwa ajili ya sheria.

Taasisi ya FDA tayari wameanza kukeshea shughuli ya kuiruhusu kutumika maana imepita mitihani yote, hivyo hivi karibuni itaanza kuwatibu Wamarekani, na tukibahatika itatufikia maana sisi hatuna mchango wowote dunia hii zaidi ya kuzaliana na kulialia na kukosoa badala ya kuwa suluhisho.
 

Natamani sana hiyo chanjo itangazwe niwe wa kwanza kujaribisha, hata nikifa kifo changu kitakua cha msaada kwenye bara hili la Afrika ambalo halina mchango wowote dunia hii zaidi ya kuwa mzigo kwa wengine. Tumeshindwa kuvumbua au kugundua chochote, lazima mzungu aje atuwezeshe kwa kila kitu, mpaka humu mnakojambia na kutoa uharo vyote hivi vya mzungu.
Kazi ya Mwafrika ngono kutiana na kuzaliana tu kama ngendere.
 
Yawezekana side effects ni kifo mbeleni, sasa bora wachache wafe sasa au wengi wafe vifo vilivyokuwa na uwezo wa kuzuilika?.

Haueleweki, kifo cha huko mbeleni hakituhusu kwa sasa, watu wanapukutika kama majani tena kwa maelfu, biashara zimefungwa uchumi umedorora duniani kote wewe unawaza side effects za huko mbeleni.
Itakua haujawahi kuumwa wewe, maana mgonjwa ambaye anapitia maumivu makali na anakondolea kifo macho ukimwambia au kumhakikishia kwamba atafune mavi atapona, aisei utamkuta chooni anatia vitu mdomoni.
 
Hiyo dawa itapatikana haraka kwa kuwa tiyari hiyo dawa unayoitangaza ilishapewa reseni kwenye ugonjwa mwingine yani hii sio dawa mpya hata kidogo. Wameifanyia modification tu kwa hiyo watatumia mwanya wa reseni iliyopita kuiweka hii sokoni mapema kama itaonekana inatibu.
Hata Pasteur Institute pale Ufaransa wako na dawa ya surua ambayo ilipata reseni miaka iliyopita wanaimodify kidogo itumike kutibu coronavirus. Ikionekana inafanya kazi itaruhusiwa mapema kwakuwa sio mpya kabisa.
Na makampuni ya madawa yanajitahidi kutumia dawa zilizopo kama wqnajua zina msaada maana ndo zinawahi kupatikana na hazitumii gharama sana kwenye research, pia muda wa reseni ni mfupi.
FDA sanasana wataangalia kama inaponya, kuhusu long time side effects na nini tiyari reseni ya dawa ishasema hii dawa iko safi kwa matumizi, then elimu ndo inatumika kuona waliongeza nini na kinaweza kuwa na madhara gani.
 
Hiyo dawa ilikuepo, ni kwa ajili ya Ebola.

Wazungu dawa wanaijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Madagascar alipotangaza amepata dawa na raia wanapona waafrika wenzie mmeungana na wazungu kuisubiri ya wazungu na sasa mnawashukuru

Alieturoga amefanikiwa sana.
Ni hatarii sana
Uchawi walotufanyia wazungu wa waafrika kudharauliana sijui utakuja Keisha liniii...
Wamadagaskaa wameshawekwa kapuniii
 
Hakuna dawa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…