Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Haya mambo yanataka utaalam sio pumba za kikombe cha babu, sio huyo tu wa Madagascar yaani waliotangaza dawa ni wengi tu, lakini mpaka ikubalike lazima ielezwe kwa misingi ya kisayansi.

Kama ukitangaza dawa yako na ikaponya mpaka wagonjwa mahtuti unahitaji sayansi ya nn? Sema waliotangataza dawa zao hazikuonyesha uponyaji!.
 
Sasa hata FDA hawajaithibitisha tiyari unashangilia. Ikulu ya Marekani haina mamlaka ya kutangaza kuanza kwa matumizi ya dawa, mamlaka hiyo wanayo FDA na wakiikataa hutokaa uione popote.
Ikulu ya Marekani kutamka ni dawa ni sawa na Magufuli aliposema tujifukize na vilevile ni sawa na Trump aliposema kuhusu chroloquine.

Jibu na hiyo comment juu kuhusu dawa ya majaribio ya Uingereza, na vipi kuhusu ile ya Australia.

Dawa imetangazwa ufaulu na uwezo wake, kinachofuatia ni kuruhusiwa matumizi yake kwa dharula, kawaida kukiwa na pandemic inayoua watu wengi kuna baadhi ya mambo hufanywa kwa dharula na kupunguza urasimu.
Hivi unajua mpaka chanjo ikubalike kutumika kikawaida huchukua hata miaka, lakini ya Corona inakusudiwa kuchukua chini ya hapo maana sheria zipo kwa ajili ya binadamu na sio binadamu kwa ajili ya sheria.

Taasisi ya FDA tayari wameanza kukeshea shughuli ya kuiruhusu kutumika maana imepita mitihani yote, hivyo hivi karibuni itaanza kuwatibu Wamarekani, na tukibahatika itatufikia maana sisi hatuna mchango wowote dunia hii zaidi ya kuzaliana na kulialia na kukosoa badala ya kuwa suluhisho.
 
Well said, hata mimi nilishangaa nilipo wasikia virologists wa Chuo Kikuu cha Oxbridge (Oxford) wakisema wameanza kuzifanyia majaribio chanjo zao huko England na Nchini Kenya! Would you belive it?

Hivi Wakenya hawajui madhara ya kutumiwa kama guinea- pigs na wala hatuta ona ajabu kama Waingereza wana lengo la kufanya majaribio ya chanja zao nchini Kenya kwa watu weusi bila ya wao kuwachanja wazungu wenzao hata mmoja, wata zuga zuga Dunia kwa kuonyesha kwenye TV na media nyingine ma volunteers wa kizungu wakichanjwa,kumbe hizo ni geresha tupu - Waingereza ni very crafty, na wala Wakenya hilo hawajalishtukia badala yake wana angahika kuwapigia debe ngozi nyeupe specifically Anglo-Saxon breed - hapo baadhi ya Wakenya uwambii kitu wakakusikiliza, as far as they are concern Americans and British are Demi-God.

Natamani sana hiyo chanjo itangazwe niwe wa kwanza kujaribisha, hata nikifa kifo changu kitakua cha msaada kwenye bara hili la Afrika ambalo halina mchango wowote dunia hii zaidi ya kuwa mzigo kwa wengine. Tumeshindwa kuvumbua au kugundua chochote, lazima mzungu aje atuwezeshe kwa kila kitu, mpaka humu mnakojambia na kutoa uharo vyote hivi vya mzungu.
Kazi ya Mwafrika ngono kutiana na kuzaliana tu kama ngendere.
 
Yawezekana side effects ni kifo mbeleni, sasa bora wachache wafe sasa au wengi wafe vifo vilivyokuwa na uwezo wa kuzuilika?.

Haueleweki, kifo cha huko mbeleni hakituhusu kwa sasa, watu wanapukutika kama majani tena kwa maelfu, biashara zimefungwa uchumi umedorora duniani kote wewe unawaza side effects za huko mbeleni.
Itakua haujawahi kuumwa wewe, maana mgonjwa ambaye anapitia maumivu makali na anakondolea kifo macho ukimwambia au kumhakikishia kwamba atafune mavi atapona, aisei utamkuta chooni anatia vitu mdomoni.
 
Dawa imetangazwa ufaulu na uwezo wake, kinachofuatia ni kuruhusiwa matumizi yake kwa dharula, kawaida kukiwa na pandemic inayoua watu wengi kuna baadhi ya mambo hufanywa kwa dharula na kupunguza urasimu.
Hivi unajua mpaka chanjo ikubalike kutumika kikawaida huchukua hata miaka, lakini ya Corona inakusudiwa kuchukua chini ya hapo maana sheria zipo kwa ajili ya binadamu na sio binadamu kwa ajili ya sheria.

Taasisi ya FDA tayari wameanza kukeshea shughuli ya kuiruhusu kutumika maana imepita mitihani yote, hivyo hivi karibuni itaanza kuwatibu Wamarekani, na tukibahatika itatufikia maana sisi hatuna mchango wowote dunia hii zaidi ya kuzaliana na kulialia na kukosoa badala ya kuwa suluhisho.
Hiyo dawa itapatikana haraka kwa kuwa tiyari hiyo dawa unayoitangaza ilishapewa reseni kwenye ugonjwa mwingine yani hii sio dawa mpya hata kidogo. Wameifanyia modification tu kwa hiyo watatumia mwanya wa reseni iliyopita kuiweka hii sokoni mapema kama itaonekana inatibu.
Hata Pasteur Institute pale Ufaransa wako na dawa ya surua ambayo ilipata reseni miaka iliyopita wanaimodify kidogo itumike kutibu coronavirus. Ikionekana inafanya kazi itaruhusiwa mapema kwakuwa sio mpya kabisa.
Na makampuni ya madawa yanajitahidi kutumia dawa zilizopo kama wqnajua zina msaada maana ndo zinawahi kupatikana na hazitumii gharama sana kwenye research, pia muda wa reseni ni mfupi.
FDA sanasana wataangalia kama inaponya, kuhusu long time side effects na nini tiyari reseni ya dawa ishasema hii dawa iko safi kwa matumizi, then elimu ndo inatumika kuona waliongeza nini na kinaweza kuwa na madhara gani.
 
Hiyo dawa ilikuepo, ni kwa ajili ya Ebola.

Wazungu dawa wanaijua
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni mchakato wa kuileta huku Afrika maana ndio kirusi kimeanza shughuli yake huku na kiukweli sisi hatuna chochote zaidi ya kufukiza, tumeanza kupukutika, hatuna mchango wowote kwenye mambo kama haya yanayohitaji matumizi ya ubongo.
================================

WHITE HOUSE - An experimental drug has proven effective in treating COVID-19 patients, the head of the U.S. National Institute of Allergy and Infectious Diseases, Dr. Anthony Fauci, announced Wednesday.

“Remdesivir has a clear-cut, significant positive effect in diminishing the time to recover,” Fauci told reporters in the White House Oval Office. “A drug can block this virus.”

An international randomized placebo control trial at his institute started February 21 with hundreds of hospitalized coronavirus patients, Fauci said.

Recovery time was 11 days for those given the drug compared with 15 days for patients given a placebo, according to the NIAID and its parent agency, the National Institutes of Health.

“Whenever you have clear-cut evidence that a drug works, you have an ethical obligation to immediately let the people who are in the placebo group know so that they can have access, and all of the other trials that are taking place now have a new standard of care,” Fauci told reporters.

'Beacon of hope'
“Today’s promising news from the NIH remdesivir trial is a beacon of hope for all Americans and everyone around the world waging war on the COVID-19 pandemic,” said Health and Human Services Secretary Alex Azar in a statement.

Remdesivir, manufactured by Gilead Sciences, is given intravenously and designed to interfere with an enzyme that reproduces viral genetic material. In animal tests against severe acute respiratory syndrome (SARS) and Middle East respiratory syndrome (MERS), diseases caused by similar coronaviruses, it has helped prevent infection and reduced severity of symptoms. But it is not yet approved anywhere in the world for any use.

Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020.
Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020. (Gilead Sciences Inc/Handout)

The U.S. Food and Drug Administration was expected Wednesday to grant emergency-use authorization for treatment of COVID-19 patients. Another study of remdesivir had not reached a positive conclusion, something reporters asked Fauci about in the Oval Office.

“It’s an underpowered study,” Fauci said of a study out of China published in The Lancet that found remdesivir was not effective in treating COVID-19 patients. “That’s not an adequate study.”

As of Wednesday evening EDT, COVID-19 had killed more than 227,000 people worldwide, including 60,000 in the United States, according to Johns Hopkins University statistics.

Total U.S. confirmed infections exceeded 1 million, the most reported by any country in the world.

“That’s a tremendous amount,” U.S. President Donald Trump said Wednesday, calling it an “indication that our testing is so superior.”

To think that the United States has more cases than China, “does anybody really believe that?” Trump added.

China faulted
He again blamed China, where the coronavirus was first reported, and the World Health Organization for the pandemic.
"They misled us,” said Trump of the WHO, calling it “literally a pipe organ for China.”

"They’re not to be congratulated for what took place and WHO is essentially congratulating them,” Trump told reporters. “And when they start doing that, we’ve got problems.”

The president earlier this month halted U.S. funding to the organization, which annually totals $400 million to $500 million. The WHO has said it is working with its partners to fill the financial gap from the Trump administration’s decision to withhold the money.

The United States is WHO’s largest donor.

“We can give it to groups that are very worthy and get much more bang for your buck. We’re going to make a decision in the not-too-distant future,” Trump said.

Patients are brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns,…
A patient is brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns, April 7, 2020, in the Brooklyn borough of New York.

Later in the day, the president hosted several business leaders in the White House State Dining Room for an Opening Up America Again discussion that stressed the need to continue practices to help prevent the spread of the coronavirus.

“More specific guidance is needed” from the federal and state governments on such practices, said Josh Bolten, the president and chief executive officer of the Business Roundtable, an association of chief executive officers of major American companies.

Bolten said that to avoid serious setbacks as establishments reopen to the public, there would be a need to rapidly identify and isolate new coronavirus cases.

Hilton Hotels CEO Chris Nassetta said his company, which has nearly 600 properties, was working with the maker of disinfectant Lysol and the Mayo Clinic to establish sanitizing procedures to ensure virus-free environments.

'New normal'
Asked by a reporter what the “new normal” would look like, Trump replied: “I see the new normal being what it was three months ago.” He noted his desire to see packed stadiums for sporting events, something health experts caution would be reckless until there was mass deployment of a vaccine for COVID-19.

Trump announced he would resume traveling next week after a nearly two-month hiatus with a visit to Arizona, to be followed by a trip soon to Ohio. He said he eventually he would resume holding his political rallies with thousands in attendance in this election year.

The president expressed optimism that soon, with or without a vaccine, “this virus is going to be gone.”

Coronavirus Treatment Breakthrough Announced

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dawa hapo
 
Back
Top Bottom