Nini maana ya COPY
......True Mkuu changa la macho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!
Tunashukuru kwa kutuonyesha hiyo hati ya muungano, la msingi ni kuyangalia waliokubaliana kwenye huo muungano yanakidhi maitaji ya sasa ndiyo muhimu.
my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishembona kuna fax number na tarehe 14 april hii ina maana gani wanajamii hebu tusaidiane kufuatilia hii fax from where
hata mimi nilianza kuamini but this one is not original copy this was faxed on the date shown above, kama ni kwenye admission ya chuo utaambiwa uende kwa mwanasheria na original kwa ajili ya udhibitisho, elimu yangu ya sheria iko chini naomba munisaidie if am wrongMonday, April 14, 2014
Hati Halali ya Muungano hii hapa ikiwa Imesainiwa ORIGINAL na Rais Nyerere na Rais Karume,Hakuna Uchakachuaji hapa
‪#‎HABARI‬ Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika.
Balozi Sefue amewahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama ila hakuna haja ya kujua ziko wapi.
Balozi Sefue amesema wanaosema kuwa hati hazipo na sahihi zake ni za kughushiwa, ni waongo.
Mambo 11 waliyokubaliana viongozi, wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana pia yameonekana katika hati ya Muungano.
Hii ndio
hati halali ya Muungano iliyosainiwa na Rais nyerere na Abeid Karume,.Hati yote nitaiweka hapa Soon.
Source: Habari Kwanza
Kumbe leo ni Apr. 14 2013!my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishe
Hii siyo original bali ni fax iliyotumwa tarehe 14 april 2013 sijui ilikuwa inakwenda kwa nani, labda mwenye maelezo ya ziada anieleweshe
Kutilia shaka kitu ni muhimu mkuu .ok ina maana nchi yetu haiwezezi kutunza kumbukumbuHiyo hati ilitumwa kwa njia ya FAX tarehe hiyo toka point A kwenda point B; wewe ulitaka FAX ionyeshe mwaka 1964?
Issue ya msingi hapa ni kwamba, je hati hii ni halali au ni feki.
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana
......True Mkuu changa la macho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!
Monday, April 14, 2014