Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Maana ya copy ionekane kama imetoka kwenye original, sasa hii ni fax ya 2013 na sijui ilikuwa inatoka wapi na ni nani aliomba atumiwe, na katika kutojua kuforge sahaihi ya Karume wakaweka me mwishoni, sasa uoriginarity wake uko wapi?
Nini maana ya COPY
 
Kwanini inawekwa viande vipande? mwenye Article kamili tafadhali tunaomba tuwekee
 
......True Mkuu changa la macho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!

Muungano+2.jpg

Kwangu mie hii picha ni HATI tosha ...unless otherwise mtuambie hapa walikuwa wanasaini kitu gani na si hati ya muungano! Hao waliokuwa wanashuhudia wamefariki wote?... kwanini hawaongei kwanini wanaachia nchi inataka kusabaratishwa ?...
 
Tunashukuru kwa kutuonyesha hiyo hati ya muungano, la msingi ni kuyangalia waliokubaliana kwenye huo muungano yanakidhi maitaji ya sasa ndiyo muhimu.

Kama wana siasa wote wangelikuwa wanafikiria hivyo mbona tungesogea mbali sana. Wanakomaa na hoja za kuongezeana vyeo tu...serikali tatu!
 
mbona kuna fax number na tarehe 14 april hii ina maana gani wanajamii hebu tusaidiane kufuatilia hii fax from where
my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishe
 
Huu ni usanii typletter ya wakati huo haikuwa nzuri kihivyo pia tarehe ya kutuma fax ni ya 2013 badala ya Leo 2014 .neno me la mwisho linawalakini
 
Naona maji yamekua mazito kuliko matarajio!nadhani hii ni mwanzo tu,wanasema ukiona kobe kainama....hongera kwa wale Watanzaniakwa waliokomboka kifikra
 
Monday, April 14, 2014

Hati Halali ya Muungano hii hapa ikiwa Imesainiwa ORIGINAL na Rais Nyerere na Rais Karume,Hakuna Uchakachuaji hapa

‪#‎HABARI‬ Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika.

Balozi Sefue amewahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama ila hakuna haja ya kujua ziko wapi.

Balozi Sefue amesema wanaosema kuwa hati hazipo na sahihi zake ni za kughushiwa, ni waongo.
Mambo 11 waliyokubaliana viongozi, wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana pia yameonekana katika hati ya Muungano.

BlL3iXXIcAAc_v6.jpg:large

Hii ndio

hati halali ya Muungano iliyosainiwa na Rais nyerere na Abeid Karume,.Hati yote nitaiweka hapa Soon.

Source: Habari Kwanza
hata mimi nilianza kuamini but this one is not original copy this was faxed on the date shown above, kama ni kwenye admission ya chuo utaambiwa uende kwa mwanasheria na original kwa ajili ya udhibitisho, elimu yangu ya sheria iko chini naomba munisaidie if am wrong

kama niko sahihi waandishi wa habari walipaswa waonyeshe original copy but each one waondoke na approved copy kutoka kwa mwanasheria

am very sorry even me i can play that simple game and even more than that nabadilisha tarehe ya fax machine so as output will give the date that i will specify
kuonekana ya zamani nitaskani mara nyingi kuweza kutoa upya wa copy
maswali ya msingi ya kuyauliza
  • wapi original copy iko
  • fax ilitoka wapi na kwenda wapi
  • kama kweli ataki kulizwa wapi ipo nitaamini vipi uhalali wa hii copy
 
kwa uelewa ili hati ithibitishwe kama ni halali ni lazima hati halisi ionekane
 
my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishe
Kumbe leo ni Apr. 14 2013!
 
Bado tupo palepale katika kutafuta katiba mpya. Hati iwe imepatikana au haikupatikana, kuna haja ya kuuangalia muungano huu upya na kweka sawa mambo ambayo yamepitwa na wakati kwa faida ya vizazi vijavyo. Haiyamkini kuwa hivyo vizazi vya baadae, hata wao wakiona kuna haja ya kuurekebisha, na wao watafanya vivyo hivo.
 
Hii siyo original bali ni fax iliyotumwa tarehe 14 april 2013 sijui ilikuwa inakwenda kwa nani, labda mwenye maelezo ya ziada anieleweshe

yakheeee......hiyo fax copy atiiiiii........oorijino iko wapiiii yakheeeee????!!!!!!
 
Hiyo hati ilitumwa kwa njia ya FAX tarehe hiyo toka point A kwenda point B; wewe ulitaka FAX ionyeshe mwaka 1964?
Issue ya msingi hapa ni kwamba, je hati hii ni halali au ni feki.
Kutilia shaka kitu ni muhimu mkuu .ok ina maana nchi yetu haiwezezi kutunza kumbukumbu
 
wawapelekee wajumbe wabunge la katiba hati original hiyo ni document yetu lazima original ionekane kwanini haipo hadi sasa ingetakiwa iwe inajulikana ilipo.
katiba ni suala nyeti sana.
 
Adi wamefikia apo hongera vijana wa tz waliyo funguka akili za wachache zimewapa akili vijana
 
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana

1538799_858617424152035_7153846776908188865_n.jpg

Hapo ni ukurasa wa -2- km unavyoonekana hapo juu chini ya maandisji ya FAX ya Ndibalema
kweli watu mna viroja, mlidai hakuna kitu km hicho ASILANI si UNO au Ikulu ya Dar au Unguja na Tundu Lissu akang'aka hasa, sasa hivi mnageuka eti kwa nini ni moja
Mikataba yoyote ya pande zaidi ya moja huwa na nakala zaid km hapo mezani inavyoonekana
Tafuteni jingine mtaeleweka kwani hizo Ibara hazisomeki huenda Muungano ni wa miaka 10 tu mngekuja nalo ndo tungesema kweli ikulu wanaficha
......True Mkuu changa la macho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!

Muungano+2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni photocopy. Scan original uipost
 
Monday, April 14, 2014

Hati Halali ya Muungano hii hapa ikiwa Imesainiwa ORIGINAL na Rais Nyerere na Rais Karume,Hakuna Uchakachuaji hapa

‪#‎HABARI‬ Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika.

Balozi Sefue amewahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama ila hakuna haja ya kujua ziko wapi.

Balozi Sefue amesema wanaosema kuwa hati hazipo na sahihi zake ni za kughushiwa, ni waongo.
Mambo 11 waliyokubaliana viongozi, wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana pia yameonekana katika hati ya Muungano.

BlL3iXXIcAAc_v6.jpg:large

Hii ndio

hati halali ya Muungano iliyosainiwa na Rais nyerere na Abeid Karume,.Hati yote nitaiweka hapa Soon.

Source: Habari Kwanza

Kwanini mnaonesha SAINI tu? sehemu inayohusu makubaliano kwanini inafichwa? our interest ni kufahamu nini kilikubaliwa baina ya hayati Mwl J.K Nyerere na Abeid Karume. Kila mtandao ninaojaribu kusearch umeonesha sehemu yenye saini tu kitu gani kinafichwa?
 
Back
Top Bottom