Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

...............mambo yasiweyanafichwa fichwa bila sababu za msingi
 
Kibwana Dachi sasa anauliza swali..

"Kama hii hati siku ilikuwepo kwann mmeacha kutoa siku zote mmpaka imefikia hatua hii ndio mmeamua kuzitoa..??"

kwani hiyo hati imeombwa na waandishi wa habari?
 
Mlikuwa mnataka hati sasa mmeletewa mnaanza kulialia.

Mlitaka isipatikane ili mpate kura 2015 teh teh teh

Kuna mahusiano gani na kura?
Hati sio mali ya ccm ni ya wananchi hivyo wanapoitaka ni lazma iwekwe hadharani.
 
Nchi yangu Tanganyika nakupenda sana. Sisi wenyewe tu majuha, kila mwaka tunasherekea Uhuru wa Tanzania na si Tanganyika, Leo tunakuja juu kuidai Tanganyika.
 
Lisu utakumbukwa daima umewafanya ccm na ikulu kutoa hati ya muungano wewe no mwanaume..
 
Kwa kuwa serikali imesema kuwa hati ya Muungano ambayo imekuwa kizungumkuti miaka mingi na mara nyingine ikapelekwa hati Tasa yenye saini feki, sasa italetwa bungeni. Tusubiri tuipokee na tuitendee kazi kama ifuatavyo.

Sasa wote tunajua Maudhui ya Hati ilikuwa ni kwamba masuala ya Muungano ni kumi na Moja. Sasa ikiletwa wote tudai masuala ya Muungano yawe kama ilivyo kwenye Hati Husika. Na sasa tuje tuone wale Wazanzibari wanaotokana na CCM ambao wanasema wanataka serikali mbili kama watakubali Zanzibar irudi kule na kuwa kama ilivyokuwa wakati tumeungana. Aidha tuone kama kweli hawa wazanzibariCCM watakubali kurejea katiba ya Zanzibari iliyokuwepo ambayo inatokana na Hati ya Muungano huo. Niwashukuru sana wale waheshimiwa wachache wenye kuwakilisha kundi kubwa kama kina JUSA, LISU, DUNI, MNYIKA, na wote wanaounga mkono Rasmu ya Mheshimiwa sana Warioba.
 
Kama Rais Watanzania tumempata na ni vema tukaangalia kwa mapana aina ya makabila yanayofaa kuongoza nchi kwani kabila hili linalotuongoza sasa halistahili kuongoza kabisa labda kwenye vitongoji vya huko vijijini kwao.
 
Back
Top Bottom