Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Tupe update basi kwenye post yako ya kwanza kwa juu ya update unaandika time tutakupata vizuri. Shukurani
 
Muungano wetu ni sawa na x + y = xy + y whereby x = tanganyika, y= zanzibar and xy = tanzania hii nayo tuiweke kama new mathematica ekwesheni kwenye mtaala wetu watoto wetu wasihojihoji iwe fact
 
walioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.
Waandishi wanaweza ambiwa hawana kinga ya kibunge hivyo hawaruhusiwi kuishika
 
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana

Hiyo hati ilitumwa kwa njia ya FAX tarehe hiyo toka point A kwenda point B; wewe ulitaka FAX ionyeshe mwaka 1964?
Issue ya msingi hapa ni kwamba, je hati hii ni halali au ni feki.
 
Hii ni "COPY" ...

attachment.php

Nini maana ya COPY
 
Kinachonishangaza watu wanasema tukiunda serikali ya Tanganyika tutauvunja muunga bila ya kutaja hasara ya muungano kuvunjika ili kuwashiwishi wale wapenzi wa serikali tatu pia bila kuonyesha kero hizi za muungano zitamalizwa vipi. (NAWAZA KWA SAUTI TU)
 
hii serikali ina la kutuabia kwanini majibu yao yana mkanganyiko mkubwa sana?
Hii naamini ni usanii wa hali ya juu ili kutuaminisha.
Where is my tanga-nyika?


......True Mkuu changa la macho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!

Muungano+2.jpg
 
Hivi tatizo letu ni muundo wa muungano au kukosa uzalendo na kupiga vita rushwa na matumizi mabaya ya madaraka?
 
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana

mkuu iyo si tarehe ya fax? mayb walikuwa wanafaxiana, ni mfumo wa whatsap wa zamani inaonekana ilituma tar kama ya leo...bado hata iyo hati bado inaitaja Tanganyika!
 
Kwa mujibu wa Sefue ni kwamba iko mbali sana kwenye usalama. Kwa hiyo hata hapo ikulu imeingia kwa fax......kule iliko itaendelea kukaaa. Hati hiyo ipo UN

Ndo kusema iliingia siku kama ya leo ila mwaka jana.
 
Hiyo no fax no. Imetumwa tarehe 14 April 2013imetokea wapi hiyo?kwa nini ikulu inachanganya watu? Si wanasema walikuw wameitunza ilikuwa mahali sasa hiyo kutumwa kwa fax ilikuwa wapi

Mkuu siyo 2014 ni 2013...Angalia kwa makini..

Huu ni usanii wa wazi kabisa..
 
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...

Hii ni ipi? Bila shaka itakuwa ni ile ya kuchakachua yenye saini za kughushi!
Kama UN haipo, kama Zanzibar haipo na Bara ni ile ya kughushi. Ikulu wanataka kumdanganya nani????

This is too late for them. Tundu Lissu ana DATA ZOTE KUHUSU HATI YA MUUNGANO!Kama kuna ukweli wa hiyo HATI YA Muungano jana Wasingelizimia runinga Kamanda Lissu. Wapeleke upuuzi wao huko!!
 
walikuwa wapi muda wote kuonesha walipoidai kwenye kamati mpaka upepo ubadilike
 
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...

waandishi wa habari hawajaomba hati ya muungano. Walioomba ni wajumbe wa bunge maalumu la katiba. Haya kweli ni maajabu ya 'dola langu Tanzania'. Namuomba Mungu anirejeshee nchi yangu ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom