Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wanaweza ambiwa hawana kinga ya kibunge hivyo hawaruhusiwi kuishikawalioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.
Antipas Lissu amewatwanga kitu!! hadi wamekodi UNGO kwenda UN!!! madude ya CCM yamekwisha!!
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana
Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;
FAX NO. 2117272
Date April 14 2013
Time 09:55am
Je hii ndiyo maandiko ya 1964?
Antipas Lissu hamna lolote ni kama mazezeta wa sheria wengne tu,kiboko yake Albert Gasper Msando..
Hii ni "COPY" ...
![]()
hii serikali ina la kutuabia kwanini majibu yao yana mkanganyiko mkubwa sana?
Hii naamini ni usanii wa hali ya juu ili kutuaminisha.
Where is my tanga-nyika?
Mkuu iangalie hiyo hati kwa juu kabisa kuna printed words tarehe na mwaka 2013. huu ni usanii sana
Kwa mujibu wa Sefue ni kwamba iko mbali sana kwenye usalama. Kwa hiyo hata hapo ikulu imeingia kwa fax......kule iliko itaendelea kukaaa. Hati hiyo ipo UN
Muda huu katibu mkuu Kiongozi anaongea na wana-habari TAZAMA STAR -TV
Hiyo no fax no. Imetumwa tarehe 14 April 2013imetokea wapi hiyo?kwa nini ikulu inachanganya watu? Si wanasema walikuw wameitunza ilikuwa mahali sasa hiyo kutumwa kwa fax ilikuwa wapi
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...