Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kusema iliingia siku kama ya leo ila mwaka jana.
SIamini na wala sikubali kuwa tuna hati 2 ZA muungano. Ile yenye saini feki iliyopelekwa mwanzo na hii ya Sefue aliyowaonyesha wachaguliwa wa waaandishi habari mchana huu. Naomba majibu haya kwa nini walipeleka hati tofauti bungeni? Je Zanzibar wameapprove kuwa hiyo Ndio kweli halisi? Naona sasa suala la muungano lirudi kwa wananchi.
Nini maana ya COPY
Mods, Please shughulikia mzushi huyu. Hawezi kuleta uozo humu halafu mkamwacha hivi hivi.
Hii ni "COPY" ...
![]()
Husikilizi na hufuatilii kujua zaidi.siwamesema watauleta bungeni waandishi wa habari ndio wabunge ???????
Tunachohitaji ni scanned copy inayoonyesha rangi halisi kwani kuweza kuforge kwa kuunganisha maandishi na na saini za muhusika na kutoa copy ni rahisi tu na inawezekana ndio kilichofanyika. Nahitaji yenye saini za rangi ya kalamu halisi waliyotumia
Yote haya kasababisha Pasco wa JF kauliza maswali magumu wanataka kumjibu kwa majibu mepesi
Hiki unatuambia nini sasa.Bungeni Bongo Movie = Ndiyooooo
Ikulu Bongo Moviee = Ndiyoooooo
Hati ya Muungano ni feki. Sahihi ya Karume imechakachuliwa kwani hata jina lake halijaandikwa hadi mwisho limekatwa na kuandikwa kwa chini. Nimeiona kwenye Facebook Wall ya January Makamba. Yaani kwanini jina la Karume herufi " me " imeandikwa kwa chini ya jina husika ? Why ? Alafu sahihi ya Nyerere imepigwa kwa mhuri sio mwandika original
Hizo number za fax ni za city centre hapo Dar, kama ni hivyo ni sawa na mie niambiwe nilete cheti cha form wakati mie ni std 7 nachofanya ni kuchukua cheti cha mtu na kukitoa copy then nabandika jina langu alafu ninakituma kwa fax. (Nawaza kwa sauti tu)Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;
FAX NO. 2117272
Date April 14 2013
Time 09:55am
Je hii ndiyo maandiko ya 1964?
Ya mwanzo na wewe ipi,lini iliwahi kuoneshwa mnakurupuka tu.kwaiyo wanakiri ile mwanzo ni fekii?
Muungano wetu ni sawa na x + y = xy + y whereby x = tanganyika, y= zanzibar and xy = tanzania hii nayo tuiweke kama new mathematica ekwesheni kwenye mtaala wetu watoto wetu wasihojihoji iwe fact
Tunachohitaji ni scanned copy inayoonyesha rangi halisi kwani kuweza kuforge kwa kuunganisha maandishi na na saini za muhusika na kutoa copy ni rahisi tu na inawezekana ndio kilichofanyika. Nahitaji yenye saini za rangi ya kalamu halisi waliyotumia