Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miye wa nne
Ikulu imetoa taarifa ndefu kuhusu madai ya maaskofu wa pentekoste (PCT) kuwa wametengwa kwa mjumbe wao kutokuchaguliwa katika bunge la katiba licha ya kupeleka majina kwa rais.
Kwa ufupi ikulu imesema baada ya uchunguzi imegundua kuwa maaskofu wa pentekoste hawakuwasilisha majina kwa njia ya kawaida, kujiteua ama kwa kuchelewa kwani database ya ikulu haijaonyesha ripoti ya maaskofu hao kutuma majina kwao.
Aidha ikulu imesema mjumbe mmoja alieteuliwa kwenye taasiai za dini Bi Edna Adam ametoka kanisa la EAGT ambao ni miongoni kwa wanachama wa baraza la maaakofu wa Pentekoste licha ya kwamba jina lake liliwasilishwa na taasisi nyingine ya dini na sio Baraza hilo la Maaskofu wa Pentekoste. Hivyo ikulu imewaomba maaskofu hao kumtumia mjumbe huyo kama mwakilishi wao na kuwa watawakilishwa kikamilifu.
Tamko la Ikulu ni la Uongo na ni mwendelezo wa kuwadharau Wapentecosite kwa sababu za Udini.
Naomba Ikulu ijibu Maswali haya:
1.Ni kwa nini ikulu itumie mda wa siku kumi kujua kwamba PCT walipeleka majina au la???.Hapo kuna agenda kuwa kuwa walikuwa wanapika taarifa!!!
Uzoefu unaonyesha kuwa ukiona matokeo ya kura yanacheleshwa ujue CCM imeshindwa na kuna udanganyifu unafanyika ili kupotosha jamii
2.Ikulu imekuwa makini sana kuwatafuta PCT kama taasisi kubwa nchini na kuwaomba wasidie kutoa elimu ya Ujii wa sheria bili Shuruti na kampeni hii ilizinduliwa na Rais Mwinyi na wamekuwa wepesi sana kupokea nyaraka za PCT zinazompongeza Kikwete sasa kwa nini waseme nyaraka za uteuzi hawakuziona??
3.Taarifa iliyopo ni kwamba PCT walikaa kikao na kuteua majina tisa ambapo kabla ya uteuzi huo mtu wa Ikulu alikuwa anawasiliana nao hadi dakika ya Mwisho. Sasa ni ajabu kuona kwamba PCT wamepeleka majina tisa harafu hayaonekani lakini lakini tamko la kumupongeza kikwete linaonekana!!
4.Baada ya kupeleka majina hayo Walimwaga watu kutoka Ikulu kwenda kufuatilia majina hayo yaliyopendekezwa na PCT sambamba na yale ya taasisi zingine sasa iweje waseme kuwa hawakupata wakati walituma kupeleleza??
5.Kama ni kweli hawakupata majina hayo ni kwa nini JK asiwaite Maaskofu ili kuwahoji juu ya walikopeleka majina badala ya kuanza kujibu kwenye media na kuwadhalilisha??. Kama kweli Jk angekuwa anawajali asingefanya hivyo!!
6.Hoja ya kwamba PCT wawakilishwe na mjumbe mwingine Yaani Bi Edaliyeteuliwa na taasisis nyingine ni dharau nyingine kubwa.
Ni kwa nini CCM isiwakilishwe na mjumbe mmoja??
Huwezi kusema ati Hamadi Rashidi aliyeteuliwa na CUF kama Mbunge awakilishe Bakwata kwa kuwa ni Muislamu !!! Haya ni matusi na dharau kubwa kwa Wapentecosite!!! Mimi siamini kama kweli tamko hili ni la Ikulu!!!
Nina dhani JK anapaswa kutafakali upya majibu haya kabla hajajibu vinginevyo .........
Nitaiweka statement yote later licha ya kwamba ni ndefu sanaaa.
Hao wanaojiita maskofu ni wapuuzi.......yaani wanatenganisha hata wakristo?......kwani sheria inataja kuhusu madhehebu.....au dini?.......
Ikulu imetoa taarifa ndefu kuhusu madai ya maaskofu wa pentekoste (PCT) kuwa wametengwa kwa mjumbe wao kutokuchaguliwa katika bunge la katiba licha ya kupeleka majina kwa rais.
Kwa ufupi ikulu imesema baada ya uchunguzi imegundua kuwa maaskofu wa pentekoste hawakuwasilisha majina kwa njia ya kawaida, kujiteua ama kwa kuchelewa kwani database ya ikulu haijaonyesha ripoti ya maaskofu hao kutuma majina kwao.
Aidha ikulu imesema mjumbe mmoja alieteuliwa kwenye taasiai za dini Bi Edna Adam ametoka kanisa la EAGT ambao ni miongoni kwa wanachama wa baraza la maaakofu wa Pentekoste licha ya kwamba jina lake liliwasilishwa na taasisi nyingine ya dini na sio Baraza hilo la Maaskofu wa Pentekoste. Hivyo ikulu imewaomba maaskofu hao kumtumia mjumbe huyo kama mwakilishi wao na kuwa watawakilishwa kikamilifu.
Nitaiweka statement yote later licha ya kwamba ni ndefu sanaaa.
Mfumo kristo
Mkuu hizi nondo wakisoma watakimbia, hakuna wa kuzidaka pale!Ikulu imetoa taarifa ndefu kuhusu madai ya maaskofu wa pentekoste (PCT) kuwa wametengwa kwa mjumbe wao kutokuchaguliwa katika bunge la katiba licha ya kupeleka majina kwa rais.
Kwa ufupi ikulu imesema baada ya uchunguzi imegundua kuwa maaskofu wa pentekoste hawakuwasilisha majina kwa njia ya kawaida, kujiteua ama kwa kuchelewa kwani database ya ikulu haijaonyesha ripoti ya maaskofu hao kutuma majina kwao.
Aidha ikulu imesema mjumbe mmoja alieteuliwa kwenye taasiai za dini Bi Edna Adam ametoka kanisa la EAGT ambao ni miongoni kwa wanachama wa baraza la maaakofu wa Pentekoste licha ya kwamba jina lake liliwasilishwa na taasisi nyingine ya dini na sio Baraza hilo la Maaskofu wa Pentekoste. Hivyo ikulu imewaomba maaskofu hao kumtumia mjumbe huyo kama mwakilishi wao na kuwa watawakilishwa kikamilifu.
Tamko la Ikulu ni la Uongo na ni mwendelezo wa kuwadharau Wapentecosite kwa sababu za Udini.
Naomba Ikulu ijibu Maswali haya:
1.Ni kwa nini ikulu itumie mda wa siku kumi kujua kwamba PCT walipeleka majina au la???.Hapo kuna agenda kuwa kuwa walikuwa wanapika taarifa!!!
Uzoefu unaonyesha kuwa ukiona matokeo ya kura yanacheleshwa ujue CCM imeshindwa na kuna udanganyifu unafanyika ili kupotosha jamii
2.Ikulu imekuwa makini sana kuwatafuta PCT kama taasisi kubwa nchini na kuwaomba wasidie kutoa elimu ya Ujii wa sheria bili Shuruti na kampeni hii ilizinduliwa na Rais Mwinyi na wamekuwa wepesi sana kupokea nyaraka za PCT zinazompongeza Kikwete sasa kwa nini waseme nyaraka za uteuzi hawakuziona??
3.Taarifa iliyopo ni kwamba PCT walikaa kikao na kuteua majina tisa ambapo kabla ya uteuzi huo mtu wa Ikulu alikuwa anawasiliana nao hadi dakika ya Mwisho. Sasa ni ajabu kuona kwamba PCT wamepeleka majina tisa harafu hayaonekani lakini lakini tamko la kumupongeza kikwete linaonekana!!
4.Baada ya kupeleka majina hayo Walimwaga watu kutoka Ikulu kwenda kufuatilia majina hayo yaliyopendekezwa na PCT sambamba na yale ya taasisi zingine sasa iweje waseme kuwa hawakupata wakati walituma kupeleleza??
5.Kama ni kweli hawakupata majina hayo ni kwa nini JK asiwaite Maaskofu ili kuwahoji juu ya walikopeleka majina badala ya kuanza kujibu kwenye media na kuwadhalilisha??. Kama kweli Jk angekuwa anawajali asingefanya hivyo!!
6.Hoja ya kwamba PCT wawakilishwe na mjumbe mwingine Yaani Bi Edaliyeteuliwa na taasisis nyingine ni dharau nyingine kubwa.
Ni kwa nini CCM isiwakilishwe na mjumbe mmoja??
Huwezi kusema ati Hamadi Rashidi aliyeteuliwa na CUF kama Mbunge awakilishe Bakwata kwa kuwa ni Muislamu !!! Haya ni matusi na dharau kubwa kwa Wapentecosite!!! Mimi siamini kama kweli tamko hili ni la Ikulu!!!
Nina dhani JK anapaswa kutafakali upya majibu haya kabla hajajibu vinginevyo .........
Nitaiweka statement yote later licha ya kwamba ni ndefu sanaaa.
Nchi ya ajabu sana hii, najiuliza hivi ingekuwa ni Sunni ama Shia ndo wameandika kulalamika kama hawa maaskofu ikulu ingejibu? kwanini hawa maaskofu ndo wanajiona wao ni makundi maalum wanataka nafasi maalum?
Wapentekoste inawabidi mtafakari kwa kina juu ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Waganga wa kienyeji wana muwakilishi, lakini ninyi mnadharauliwa kiasi hiki! Mtafakari!
Hata Mtikila ni Pentecoste si wangle sema ndio mwakilishi wao? Kingunge anawasilisha wachawi, JK angeweka waliookoka si majini ya Kingunge yangekosa nguvu...
Ina maana maaskofu wa kipentekoste mlishindwa kujiteuwa! Mnatia aibu sasa, kumbe mnalalamika bure, tatizo lenu, mna umimi kama wapemba, ubaguzi.
Hata Mtikila ni Pentecoste si wangle sema ndio mwakilishi wao? Kingunge anawasilisha wachawi, JK angeweka waliookoka si majini ya Kingunge yangekosa nguvu...
hahahahahahaha mkuu umenikumbusha hawa sabato masalia walitaka kwenda kupanda ndege bure airport waende mbinguni sijui walishafika au waliishia wapi duhhivi wasabato masalia nao wana mwakilishi kwenye bunge la katiba,? nawakumbuka sana hawa jamaa walitaka kupanda ndege na kwenda ulaya bila ya kuwa na visa wala tiketi
Mkuu hizi nondo wakisoma watakimbia, hakuna wa kuzidaka pale!
we unasema kwa kusema kutumia media amewadhalishabna je wao kulalamika kutumia media wamefanya nini?
majina yaliyopelekwa ikulu ambayo yanawakilisha makundi ya dini ni mengi,lakini mtu ataanzaje kusema au kuuliza mbona majina hamjaleta je pengine hawataki au pengine walitumia muunganiko wa makundi mengine ha dini,we unasema hadi dakika ya mwisho ikulu ilikuwa inawasiliana na PCT ulijuaje,hata kama uliambiwa walikuwa wanawasiliana ili iweje?wapate umbeleo?