Ikumbukwe: MBOWE ndio mpangaji wa vurugu zilizomuondoa Msigwa CHADEMA. Mbowe alitaka pia awafute akina Lissu, Heche!

Ikumbukwe: MBOWE ndio mpangaji wa vurugu zilizomuondoa Msigwa CHADEMA. Mbowe alitaka pia awafute akina Lissu, Heche!

Huyo Msigwa unayemuona anajitambua kwa nini akahamia CCM kisha akaanza kuitukana Chadema kama shida yake ilikuwa ni Mbowe?

Na kwanini jana Msigwa amerudi Chadema ile aliyokuwa akiitukana?!

Muwe mnatumia akili kidogo mkichambua mambo.
 
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako.

Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi .

Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI.

Karibu CHADEMA , Kamanda Peter Msigwa !!?
Once a traitor always a traitor, naona chawa wa malaya siasa Msigwa wameanza kampeni za kipumbavu. There is a very big possibility ikawa ametumwa na CCM, he is untrustworthy.

 
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako.

Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi .

Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI.

Karibu CHADEMA , Kamanda Peter Msigwa !!?
Gentleman,
ieleweke wazi kwamba selasini anakwenda kuupindua uongozi wa Chadema taifa na kushika hatamu za kuongoza chadema hicho 🐒
 
Gentleman,
ieleweke wazi kwamba selasini anakwenda kuupindua uongozi wa Chadema taifa na kushika hatamu za kuongoza chadema hicho 🐒
Just like that..!!

Chadema sio NCCR we boya!
 
Ni kweli Msigwa alikuwa haelewani na Mbowe, lakini alipoondoka akawa anatumika kuibomoa cdm. Angehama aanze kueneza sera za chama chake leo anaporejea tungemuelewa. Sio ashindwe kwenye kazi aliyopewa na kukosa cheo huko ndio arejee cdm. Cdm wasifanye kosa kuwapa nafasi yoyote ya uongozi hao wasio na uvumilivu.

Ifahamike bado cdm ipo kwenye mapambano makali, itakuwa ni kosa kubwa la kiufundi hao madouble agent kupewa nafasi ndani ya cdm.
Kazi aliyopewa na CCM ilkuwa kumbomoa Mbowe, baada ya Mbowe kushindwa kwenye uchaguzi na kuwa kibaraka wa Samia automatically Msigwa akawa redundant, akabaki akisubiria uteuzi na baada ya kuona hateuliwi ndiyo anatoa sababu eti ni kutokana na mauaji ya October 29, imepita miezi saba ndiyo astuke sasa hivi, haiingii akilini, hatudanganyiki.
 
Namashaka sana na Msigwa kuludi cdm, mtu pekee aliondoka cdm na kuludi sikuwa na shaka nae ni dokta slaa tu. maana yule mzee alionelea ni bora aachane na siasa kuliko kukubali mbowe amlete mzee lowassa nae abaki..hakuwa mnafiki si hawa
 
Wakati unaandika haya kumbuka kwamba Dr Slaa ndiye aliyemleta Lowassa Chadema
Kumleta Lowassa lilikuwa ni jambo la kimkakati... Sema hatukuwa na wananchi wenye uelewa!
Kifupi kuivuruga ccm lazima upinzani uwe na mgombea mwenye ushawishi zaidi ya yule wa ccm.
Pili, lazima wananchi wawe tayari kudai ushindi wao hata ikibidi kwa kuingia barabarani.

Lowassa was that person... Tatizo alikuja upinzani akiwa amechoka kiafya. Hakutaka mambo mengi...
Kingine muhimu... Inawezekana wakati wa MUNGU ulikuwa Bado!
 
namashaka sana na msigwa kuludi cdm, mtu pekee aliondoka cdm na kuludi sikuwa na shaka nae ni dokta slaa tu. maana yule mzee alionelea ni bora aachane na siasa kuliko kukubali mbowe amlete mzee lowassa nae abaki..hakuwa mnafiki si hawa
Kwenye siasa hakuna adui wala chuki za kudumu... Muhimu ni malengo!
Ni kama usajili kwenye soka vile... Mchezaji wa timu pinzani anaweza kusajiliwa kwenye timu yenu... Muhimu ni kujitambua na kuzingatia malengo!
 
Kumleta Lowassa lilikuwa ni jambo la kimkakati... Sema hatukuwa na wananchi wenye uelewa!
Kifupi kuivuruga ccm lazima upinzani uwe na mgombea mwenye ushawishi zaidi ya yule wa ccm.
Pili, lazima wananchi wawe tayari kudai ushindi wao hata ikibidi kwa kuingia barabarani.

Lowassa was that person... Tatizo alikuja upinzani akiwa amechoka kiafya. Hakutaka mambo mengi...
Kingine muhimu... Inawezekana wakati wa MUNGU ulikuwa Bado!
Najua kila kitu ila nilikuwa namfafanulia jamaa
 
Huyo Mbowe ndio alimsaidia Msigwa aliposhindwa na Ole Sosopi, Freeman alimuomba Sosopi ajitoe ili kumlinda Msigwa, hili hamkuona?

Miaka 10 huku Kanda ikidumaa ilikuwa inatosha
Napenda ukweli ukisemwa namna hii bila kuangalia unamuathori nani kisiasa.
 
Kumleta Lowassa lilikuwa ni jambo la kimkakati... Sema hatukuwa na wananchi wenye uelewa!
Kifupi kuivuruga ccm lazima upinzani uwe na mgombea mwenye ushawishi zaidi ya yule wa ccm.
Pili, lazima wananchi wawe tayari kudai ushindi wao hata ikibidi kwa kuingia barabarani.

Lowassa was that person... Tatizo alikuja upinzani akiwa amechoka kiafya. Hakutaka mambo mengi...
Kingine muhimu... Inawezekana wakati wa MUNGU ulikuwa Bado!
Acha utani wa bei rahisi, kwamba Lowassa alikuwa na ushawishi wa kisiasa kuliko Dr. Slaa 2015? Boss unadhani watu humu wameanza kujua siasa majuzi?

Lowassa hakuingua cdm kimkakati, bali alitumia pesa zake kuusaka urais baada ya kuukosa kupitia ccm, akapima upepo akaona cdm ndio sehemu pekee iliyosalia ya kufikia ndogo yake. Mbowe kwa tamaa zake akapokea hela, na akatumia nafasi yake ya kimamlaka kumpa nafasi hiyo adhimu.
 
Msigwa alishindwa kihalali kabisa kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa (nilikuwepo), alishindwa Kama alivyoshindwa Mbowe na Tundu Lissu

Kusingizia Mbowe ni porojo tu
Huyo Mbowe ndio alimsaidia Msigwa aliposhindwa na Ole Sosopi, Freeman alimuomba Sosopi ajitoe ili kumlinda Msigwa, hili hamkuona?

Miaka 10 huku Kanda ikidumaa ilikuwa inatosha
Wakati unaandika haya kumbuka kwamba Dr Slaa ndiye aliyemleta Lowassa Chadema

mda mwengine akili zako huwa zinafanyakazi vizuri kwa kweli
 
Sipati picha siku ambayo LISSU atakuwa huru kwakifupi hiki chama kitazidi kupaa Sana na kuwa imara zaidi tofauti na utawala wa mbowe
 
Back
Top Bottom