Ila baba nae anakaa mbali sana na mama yetu, mbona ma first lady huwa wanakuwa close!?

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mganguzi, hakuna ibara yoyote ya Katiba yetu inayomtaka Rais/mgombea wa Urais awe na mke/mume. Maoni yangu juu ya hoja yako ni inawezekana kuna masuala ya kiimani au kifamilia katika jambo hilo. Tuheshimu mambo yalivyo. Ni hayo tu mkuu
Huwezi kuongoza nchi ikiwa wewe ni mseja !!!
 
Mkuu Mganguzi, hakuna ibara yoyote ya Katiba yetu inayomtaka Rais/mgombea wa Urais awe na mke/mume. Maoni yangu juu ya hoja yako ni inawezekana kuna masuala ya kiimani au kifamilia katika jambo hilo. Tuheshimu mambo yalivyo. Ni hayo tu mkuu
Mkuu, nadhani tusirahishe hili suala. Uongozi wa Nchi haufulii mbali mila na desturi Mahalia. Tunao mfano hai. Yesu ambaye alikuwa ni Mungu hakujitenga na Mila na Desturi za Kiyahudi ambazo zilikuwa ni Nzuri. Kwa hapa Tanzania, kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka marehemu Magufuli wote walikuwa na wake zao wanaojulikana. Na hata huyu Siku ya kuapishwa tulionyeshwa huyo anaitwa mumewe. Nadhani lengo lilikuwa ni kutuonyesha kuwa sio mdangaji. Kwa hiyo, usibeze hoja hiyo.
 
Hata hivyo ndo sifa ya mwanaume kiafrika kufuatana fuatana na mkeo kila anakoenda ni ngumu mtakua pamoja kwenye maeneo muhimu ambayo yana ulazima uwepo !! Mzee Baba akimuhitaji mkewe anajua jinsi ya kumpata !! Sasa kila ziara mnaongozana aseee si kituko hicho !!
Tabia za Marioo hizo kuongozana kila mnakoenda !
Huenda anaambiwa sana waongozane , ila wanaume wa kiafrica tulivyo wabishi.
Au pia mzee baba ana mambo yake ,huenda biashara zinamweka busy sana .
 
"Hili nalo suala la Baba yenu nimeagiza,msilitizame sana wanangu"
 
"Ukipewa kazi ya nchi,lazima hujiheshimu,siyo unaishi kihunihuni"-Mwalimu Nyerere!
 
As longer as mama yetu kwa baba sio mke pekee wapo wake wenza wenzake ndo maana baba hana shobo sana per diem inasoma huku yupo na bi wadogo. Mama mwenyewe alishasema hawezi mjali baba kiivo kwani akina baba wana miji mingi alipotoka ashashiba.
 
Shauri yake mpaka amalize miaka kumi itakuwa homon zimeshuka atakuja kujutia muda huu ndio ulikuwa haswaa muda sahihi yaani lala salama shauri yake yy ashoboke na cheo asahau kwamba homoni zinapungua Kwa sababu ya age yeye
 
Mama mwenyewe alisema unanipea mbegu 2 mambo mengne nafanya mwenyewe....sasa kwa kauli ile ulitegemea nini? Pale alipo na ukizingatia wanawake wa kiafrica hawa wanajiona wabeijing usitegemee afuatane nae... Pale anatamani hata asingefahamiana kabla na uyo mwanaume
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…