stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.
Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂
Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂
Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!
Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanaichezea