BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wataamua nini? Kwenye Taifa la Mazezeta kama hili ndio imetoka hio, hakuna kitu hapo,Acha tuone wataamuaje........ila jamaa hawana aibu na ushahidi wote bado wanaweza wakalindana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataamua nini? Kwenye Taifa la Mazezeta kama hili ndio imetoka hio, hakuna kitu hapo,Acha tuone wataamuaje........ila jamaa hawana aibu na ushahidi wote bado wanaweza wakalindana
Kwangu naona Bashe anatafuta hela za kundi lake huko CCM kutoka tani 30K Hadi 400K ndani ya miezi is too much.Mim nikusahihishe,nilisikia wenye viwanda walikua wanadengua dengua,ndio mana labda dili ilivofika kwa watu wa steshenar wakachangamka,shida ipo wap ikiwa wote wana tin numbar
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.
Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂
Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂
Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!
Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanait****mba
Sisi hatulalamiki kuna Sukari nyingi tunalalamika wiziMbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?
Duh hii nchi ngumu sana
Ameibaje? embu tupe mchanganuoView attachment 3021238
Kwa wasiojua how 500 billions is.
Bashe ameeiba zaidi ya 50+ ya bajeti ya Tarura... Hizo hela Bashe anaenda kukwapua, zinaweza kuondoa kabisa Foleni na kukarabati Barabara zoote za Dar es salaam.
Spika Tulia kwa jinsi alivyo akipewa million 300 pekee anafunga mdogo, but this is big scandal
Kwani kuna shida gani kuagiza kiasi kikubwa zaidi ya upungufu? Huoni soko litakuwa la ushindani sukari ikiwa nyingi?Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.
Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂
Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂
Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!
Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanait****mba
Ameibaje? embu tupe mchanganuo
Hizi hadithi alikusimulia nani? Mwaka huu kuna miwa mingi zaidi ya mahitaji na hivyo sukari ya kutosha itazalishwa na viwanda vyetuMafuriko ya mwaka jana na mwaka huu miwa ya wakulima yote imeharibika kwa asilmia 80, kwa hiyo nchi itavuna sukari ya maana mwakani. Iliyopo ni kidogo, kwa hiyo upungufu wa sukari utaendelea kwa muda mrefu mpaka wakulima wavune tena miwa.
Kagera ilifikia muda magari ya kusomba miwa yanashindwa kuingia shambani kutokana na mafuriko, miwa yote ikaharibika. Sasa hilo gepu la miwa iliyoharibika linajazwaje kwa karibu mwaka mzima? Morogoro hivyo hivyo, mafuriko yalitamalaki
🥲Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.
Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂
Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂
Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!
Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanait****mba
Nani, Bashe?Watamlinda.
EEEeeenHHHEeeee!Kama ni sukari kweli haina shida
Maana Shujaa Maguful alituambia haya masukari imported mengi ni Sumu na aliongea kama Mkemia 🐼
Iki-expire inakuwa kitu gani, hebu tueleze?Sugar ilieksipaya ni sumu kama unabisha wape panya uone matokeo 🐼
Bwashee vibali vya Sukari vilianza kutolewa wakati wa awamu ya Mzee Rukhsa na procedure ni Hiyo hiyo ya single transactionEEEeeenHHHEeeee!
Hapa unaandika kama utani, lakini inawezekana unaamini hivyo kweli!
Hakuna kitu kama hicho.
Sikulenga haya uliyojibu hapa. Lakini nitatumia fursa hiyo kukuuliza swali kwa vile unajuwa jibu. Mzee Ruksa alitunga sheria ambayo hadi leo inatumika, au ni mazoea tu?Bwashee vibali vya Sukari vilianza kutolewa wakati wa awamu ya Mzee Rukhsa na procedure ni Hiyo hiyo ya single transaction
Na inakuwaga na faida kubwa hivyo hivyo
Nadhani Tatizo la Bashe ni hao Jamaa zake aliowapa tenda
Wakati wa dharura hutafutwa mtu yoyote mwenye Uwezo wa kumaliza tatizo Kwa haraka na anapewa Kazi haijalishi yuko kwenye Hiyo industry ama laSikulenga haya uliyojibu hapa. Lakini nitatumia fursa hiyo kukuuliza swali kwa vile unajuwa jibu. Mzee Ruksa alitunga sheria ambayo hadi leo inatumika, au ni mazoea tu?
Nilicho jibu hapo juu kuhusu "Hakuna kitu kama hicho", ni hayo ya Shujaa wako uliyemtaja.
Swali la pili linaibukia hapo: Shujaa naye alitumia sheria ile ile ya Ruksa? Najuwa jibu ni Hapana.
Hebu Kwanza: Imenibidi nirudi haraka. Umeandika 'Single Source', aliyotumia Bashe? Una maana gani?
Umeandika '"Single Source'"
Lakini si sheria, maana hujaeleza hivyo.Wakati wa dharura hutafutwa mtu yoyote mwenye Uwezo wa kumaliza tatizo Kwa haraka na anapewa Kazi haijalishi yuko kwenye Hiyo industry ama la
Hata utaratibu wake wa kulipa Income tax ni tofauti kwani atalipia faida ya hiyo consignment tu kisha anaendelea na maisha yake
Tatizo litakalombana Bashe ni Moja tu, kiasi kilichohitajika Kwa dharura na kiasi alichoagiza ni tofauti
Lakini anaweza kupangua Kwa kusema Waliotengeneza uhaba ni wazalishaji wa Ndani na walisababisha Bei kupanda sasa ili kukabili Bei kubwa ya sukari ni lazima supply more Ili bei ishuke
Swala la Sukari ni la Demand and supply na Siyo Siasa
Ulale Unono 😃😃
Lakini sasa tuna Sukari ya ziada hadi wapika Gongo watapata ya kutosha.Huyu ndiyo anajua kula kwa urefu wa kamba yake . Haya Watanganyika wote Makofi kwa Bashe Msomali tafadhali