Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Aliyeibua uovu wa Msomali anaonekana mhalifu.
Mzalendo anaonekana mhalifu mbele ya mgeni tapeli,
Hii sukari ita expire kwenye maghala lkn haitamwagwa, itaendelea kuuzwa wakubwa wapige hela wakati huo huo miwa ya wazalendo itakosa soko na viwanda vya sukari bitafungwa, kwani Ni ukweli usiopingika kwamba sukari ya ndani haiwezi ku compete na sukari iliyo expire ya nje ambayo haijalipiwa Kodi.
Let us wait and see.
 
Hili Jambo wanaliona dogo, ila miezi michache wataanza kujadili bei ya Sukari

tena Mo Dewji ana husika
 
Sasa mlitaka iingie kidogo ili nayo ifichwe bei ibaki juu palepale ... Yaani watu wachache walitaka bidhaa iendelee kuwa adimu pamoja na kipindi hicho uzalishaji haukuwepo sababu mashamba ya miwa yalioathiriwa na mvua za elnino bado upo zako mezani unapiga hesabu za gape sugar lengo ku maintain uhaba wa sukari ili bei isishuke .. nampongeza sana waziri bashe hakika alikuwa akijali wananchi wake .. bidhaa inapokuwa in excess mtaani inashuka thamani na bei inaporomoka wapo watu 7 hivi hawataki watu milioni 60 wapate hiyo afadhali kulinda maslahi yao na kuna wajinga JF wana support hao watu saba .. eti gape suger ..upumbavu Tu ... Bashe ni mzalendo na mbunifu
 
Lakini si sheria, maana hujaeleza hivyo.
Na hata kama ingekuwa ni sheria, sasa sheria hiyo inatumika vibaya; hata kama dharura yenyewe haipo, au kiasi kinacho agizwa kinakuwa hakiendani na ukubwa wa dharura.

Huu ni mwanya tu, unaotumika sasa kufanya upigaji, na katika hili, ni wazi huu siyo upigaji wa Bashe; yeye ametumika tu kwa vile wizara yake ndiyo yenye mamlaka.

Dalili zote tayari zinaonyesha serikali nzima hata Bunge linahusishwa, ndiyo maana huyo Binti Fito anavyomsurubu Luhaga Mpina.

Acha vichekesho 'john', uliona wapi bei ya sukari ikishuka; au hiyo wanayosema ilifika Tsh 10,000/ kwa kilo?
Hizo ni komedi tu zinaeleweka.

Haya weka uwiano hapa: Tani 400,000, kushusha bei ya sukari?
Bidhaa inapokea in excess mtaani inakosa thamani na bei inashuka tu simple mathematics haiitaji shule ... Pia unaposema upigaji ni upigaji kivipi? Walio sukari nje ni serikali au watu binafsi?! Yaani sijakuelewa unaposema upigaji !!! Elezea chain nzima ya upigaji kwenye kuagiza tani laki 4
 
Ili kuwapa dili watu wake, halafu katika hizo 40 viwanda vzya sukari vikapewa vibali vya kuagiza tani 10 kwa kila kiwanda, jumla yao ikawa tani 50, huku wafanyabiashara wasiojua chochote kuhusu biashara ya sukari wakipewa vibali vya kuagiza na kuuza mzigo wa tani 360 wengine wakijihusisha na biashara ya stationery.
Kwenye hizo tani kumi hao wafanyabiashara wa viwanda Ambao ni hao 7 je waliingiza hata nusu kilo ?! Hao unaodai wana uwezo ..maana walipewa wao kwanzA vibali kabla ya hizo stationary ambazo hazifanyi biashara za sukari wala hazina experience kama unavyodai lakini wakafanikiwa kuleta sukari ... Yaani sijaelewa point ya Mpina .. ni kwamba waziri angeendelea kuwabembeleza wake wafanya biashara 7 superdoll na wenzake walete sukari huku mtaani taharuki ikiendelea bei ikizidi kupaa?! Alafu nimemuuliza swali mwenzako anaposema upigaji kwani kuna hela ya serikali huyo mwenye stationary kapewa anunue mzigo ?! Wananchi wanachotaka ni matokeo sukari ije mtaani kwa bei chee .. sio kuanza kuwabembeleza kina superdol na wenzake walete tani kumi ambazo walishindwa au hawakutaka kuingiza ili Ku maintain uhaba ..
 
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole

Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.

Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂

Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂

Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!

Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanait****mba

Tatizo letu watanzania hao hao wana lalamika tukisema kuhusu mfumo ni wa kwanza kuuliza mfumo unafaida gani😂
 
Kwani toka sukari ya bashe iingie mbona bei ndio imeshuka, sijaelewa bado malalamiko yenu ni yapi hasa?

Maana sukari ikiwa chache bei hupanda, sasa ikizidi tatizo ni nini?
Hawataki ishuke unaharibu soko la ndani wanataka bei ibaki ijuu
 
Bidhaa inapokea in excess mtaani inakosa thamani na bei inashuka tu simple mathematics haiitaji shule ... Pia unaposema upigaji ni upigaji kivipi? Walio sukari nje ni serikali au watu binafsi?! Yaani sijakuelewa unaposema upigaji !!! Elezea chain nzima ya upigaji kwenye kuagiza tani laki 4
Unasema bei ya Sukari itashuka kisa kuna Sukari nyingi ameagiza Bashe?
 
Wakati wa dharura hutafutwa mtu yoyote mwenye Uwezo wa kumaliza tatizo Kwa haraka na anapewa Kazi haijalishi yuko kwenye Hiyo industry ama la

Hata utaratibu wake wa kulipa Income tax ni tofauti kwani atalipia faida ya hiyo consignment tu kisha anaendelea na maisha yake

Tatizo litakalombana Bashe ni Moja tu, kiasi kilichohitajika Kwa dharura na kiasi alichoagiza ni tofauti

Lakini anaweza kupangua Kwa kusema Waliotengeneza uhaba ni wazalishaji wa Ndani na walisababisha Bei kupanda sasa ili kukabili Bei kubwa ya sukari ni lazima supply more Ili bei ishuke

Swala la Sukari ni la Demand and supply na Siyo Siasa

Ulale Unono 😃😃
Hii safi sana.
 
Lakini si sheria, maana hujaeleza hivyo.
Na hata kama ingekuwa ni sheria, sasa sheria hiyo inatumika vibaya; hata kama dharura yenyewe haipo, au kiasi kinacho agizwa kinakuwa hakiendani na ukubwa wa dharura.

Huu ni mwanya tu, unaotumika sasa kufanya upigaji, na katika hili, ni wazi huu siyo upigaji wa Bashe; yeye ametumika tu kwa vile wizara yake ndiyo yenye mamlaka.

Dalili zote tayari zinaonyesha serikali nzima hata Bunge linahusishwa, ndiyo maana huyo Binti Fito anavyomsurubu Luhaga Mpina.

Acha vichekesho 'john', uliona wapi bei ya sukari ikishuka; au hiyo wanayosema ilifika Tsh 10,000/ kwa kilo?
Hizo ni komedi tu zinaeleweka.

Haya weka uwiano hapa: Tani 400,000, kushusha bei ya sukari?
Uhalisia kwa walaji hupoje kwani?Nipo makao makuu ya halmashauri ya Mlimba katika wilaya ya Kilombero,kilo moja ya sukari inauzwa tsh 4000!. Kumbuka hii ni moja ya wilaya zinazo zalisha sukari.
 
Mafuriko ya mwaka jana na mwaka huu miwa ya wakulima yote imeharibika kwa asilmia 80, kwa hiyo nchi itavuna sukari ya maana mwakani. Iliyopo ni kidogo, kwa hiyo upungufu wa sukari utaendelea kwa muda mrefu mpaka wakulima wavune tena miwa.

Kagera ilifikia muda magari ya kusomba miwa yanashindwa kuingia shambani kutokana na mafuriko, miwa yote ikaharibika. Sasa hilo gepu la miwa iliyoharibika linajazwaje kwa karibu mwaka mzima? Morogoro hivyo hivyo, mafuriko yalitamalaki
Huu utetexi kawape Lumumba. Fc na maccm yasiyo na akili

Kwa hiyo mvua ndo onajustfy kutoa vibali kwa stationaery kuagiza sukari
 
Sasa sukari yote hiyo imeagizwa je wenye viwanda watauza wapi sukari wanayozalisha? Tutegemee redundancy kwenye viwanda
 
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole

Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.

Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂

Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂

Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!

Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanaichezea
Porojo hizo, subiri tarehe 24 utaujuwa ukweli. Usikurupuke.
 
Bwashee vibali vya Sukari vilianza kutolewa wakati wa awamu ya Mzee Rukhsa na procedure ni Hiyo hiyo ya single transaction

Na inakuwaga na faida kubwa hivyo hivyo

Nadhani Tatizo la Bashe ni hao Jamaa zake aliowapa tenda
Bwashee Kuna wakati dish linayimba
Tatizo siyo mvua au uhaba wa sukari tatizo ni utaratibu uliotmika

Hata ikiwa ni single source iliyoanzishwa na ruksau nani sijui, je utaratibu wa kumpata huyo single source ulifuatwa?

Lissu anasema waagizaji walitoa rushwa ya sh 300 kwa kilo j

Sisi tunaulizia na tunakomaa na hilo inakuwaje waziri anawaumiza watanzania na wapigakura wake kwa kukiuka taratibu
 
Hili Jambo wanaliona dogo, ila miezi michache wataanza kujadili bei ya Sukari

tena Mo Dewji ana husika
MO ndio kinara, si ndio mwenye kampuni ya ITEL /ya kuuza simu iliyo megewa pande. Sasa najiuliza kiwanda Cha bagamoyo ndio kwanza kimeanza, Leo wadau matajiri number moja wanataka kife kwa tamaa na ubinafsi.
Kwanza 49% ya kampuni ya ITEL zinamilikiwa na magabachori wa India. Bashe Ni mhujumu uchumi . Hakuna jina jingine zaidi ya uhujumu uchumi.
Ingekua China huyu.........tusiongee mengi.
 
Huu utetexi kawape Lumumba. Fc na maccm yasiyo na akili

Kwa hiyo mvua ndo onajustfy kutoa vibali kwa stationaery kuagiza sukari
Ulishawahi kusajili kampuni? Kampuni moja katika katiba yake (Memorandum and Articles of Association) inaweza kufanya shughuli zaidi ya moja, wengi huweka hata shughuli 100
 
Back
Top Bottom