denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
- Kwanini watu wa stationery wasio na ujuzi wowote kuhusu masuala ya uagizaji na usambazaji wa sukari wapewe hiyo kazi? Uko wapi usalama wa mtumiaji wa sukari?Mim nikusahihishe,nilisikia wenye viwanda walikua wanadengua dengua,ndio mana labda dili ilivofika kwa watu wa steshenar wakachangamka,shida ipo wap ikiwa wote wana tin numbar
- Inawezekana vipi mtu wa stationery mwenye mtaji wa milioni moja akapewa kazi ya kuagiza sukari ya bilioni 6.6?