John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 263
- 246
Mimi hii hoja ya sukari ni pasua kichwa hawa wazarishaji wetu wa sukari ni zimamotoGape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.
Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂
Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂
Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!
Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanaichezea
Inakuwaje mafuriko ya miezi mitatu Tu utokee uhaba ina maana viwanda vinazarisha chini Sana ya kiwango
Pia kuna shida pahara kama vibali vimetolewa idadi kubwa kuliko mahitaji bei ya sukari ingepungua Sana
Kinachoendelea bei bado IPO juu haishuki kufikia iliyo kua mpaka sasa kanda ya ziwa ni 3600+
Kwa mtazamo wangu naona sukari na vibali vyake kuna ugomvi wa mgao
Wengine wamepata zaidi kuliko wengine hata wazarishaji sukari nao wanalalamika wamepunjwa mgao wa kuagiza
Cha msingi uzalishaji wa sukari uongezeke Sana kuzuia upungufu huu
Kwa kumbukumbu yangu hakuna utawala ambao haujakumbana na pasua kichwa hii
Kuna la kujifunza na kuchukua hatua