Hadi tarehe 31.3.2023 watoto wote wa f1 inabidi wajue kiingereza.....lazima!
Sasa hivi kuna maufuatiliaji yanayofanyika karibu kila siku tangu tarehe 9 zilipofunguliwa shule na moja ya jambo kubwa linaloangaliwa huko ni uzungumzaji wa kiingereza. Matokeo mabovu ya Form 2 ya 2022 yamechangia 'kukurupua' hali hii.
Huko mashuleni:
1. Hakuna walimu.......watoto wanaoanza kdt 1 hawawezi hata kuhesabu kwa kiingereza kufikia ishirini. Shule yenye wanafunzi 500 ina mwl mmoja wa Kiingereza.
2. Vitabu hakuna
3. Madarasa yamejazana hadi mlangoni (wingi huu si rafiki kwa ujifunzaji wa kiingereza)
4. Sera zenyewe bado hazieleweki.....n.k
Ndo hivyo, walimu wapo wanasubiri hatma baada ya hapo tarehe 31.3.2023 kama watafukuzwa au kuzuiliwa mishahara......sijui.