Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

Za
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.


View attachment 2982613
Za ndani

Shemeji yetu kila mchezo ukichanganya akiambiwa na bidada ruka ukuta ,ruka ukuta

Shemeji kichwa ngumu ,anaenda kujificha toilet...
....

Ndo shida ya kupata wanawake wa kwenye matamasha ,CD anasambaza mwenyewe na nambazake zooote

Nabora
SIMU IPOKELEWE NA MSAIDIZI ,mojakwamoja anapokea yeye mwenyewe na nchi hii ilivojaa makuhadi
 
hapa akiwa nyumbani kwake amepaka make up kwa mbaliii
IMG_20240506_215121.JPG
 
Mmmmmhhhh labda Mimi Sina uhakika kama ni mzuri!
 
Nenda anapoishi asubuhi sana kagonge geti ukibahatika kufunguliwa na mlinzi fanya juu chini kagonge mlango wa chumba anacholala and then afungue huyo second part kabla hajanawa uso.

Baada ya kumsalimia toka nje ya geti fasta tuandikie story nyingine au andika developing story au updates story hapa hapa ๐Ÿ˜!.
 
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.


View attachment 2982613
uzuri anaweza kua nao vizuri tu, ila kuna mambo mengine mazito yanahitaji ustahimilivu mno kuyavumilia, kuyachukulia na kuyabeba moyoni...

humu kwa manyumba ya watu mambo huchemka sana, lakini wengine wa nje waweza ona uzuri wa sura pekeyake.

sura si kitu sana,
Mioyo ya watu imebeba mengi sana Mshirikishe Mwenyezi Mungu ๐Ÿ’
 
Watu weuweeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyoooooooo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
weka picha kaamka asubuhi anakata gogo, hapo ndo tutajua kama sura ya mama au ya marehemu babu mzaa baba.
 
Nyoooooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em kwendraaa huko, kujifanya humtaki kumbe ume fall mazimaaa.

Wapiiiii kiben10 wa wizoo? Woiiiiih
 
Hiyo ninpicha dogo, kwan hujaona ile intevyuu yake libe akihojiwa wachafu tv?sure sio hiyo hata kidogo.
Mtu anapigwa shimo toka akiwa na 19 yrs ndio uje utuambienjabar hizo,? Acha ulimbukeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em kwendraaa huko, kujifanya humtaki kumbe ume fall mazimaaa.

Wapiiiii kiben10 wa wizoo? Woiiiiih
Coca nilikua nina mpango wa kukuletea wine na asali dumu tatu ila kwa huo mdomo wako athubutuuu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Coca nilikua nina mpango wa kukuletea wine na asali dumu tatu ila kwa huo mdomo wako athubutuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weyaaa weyaaa utahanyaa mwaka huu.
Em niletee hizo zawadii, au unataka nkuachanishee kwa mshangazi wako?

Wee wizooo em njoo hapa BICHWA KOMWE -
 
Back
Top Bottom