Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

Shusho ni mzuri ila hapo make up zimepiga handicap.

Hiyo picha bila ya kuandika cristina shusho kisha ungeniuliza huyu ni nani, kwa kweli nisingemtambua na wala nisingetaja jina la shusho.
 
Aaaaah nimeshangaa ni weww ume comment hvi au ...
😂😂😂😂
 
Wahenga walisema "Ganda la muwa la Jana, chungu kaona kivuno" Mwambie anawe uso afute na lipstick ndo utajua hujui
 
🙌🙌🙌Ukiskia bibi hua unashtuka sana
Sana kwasababu kwetu singida ili mtu aitwe bibi anatakiwa kuwa bibi "kweri kweri" nashangaa watu wa JF , mtu kama Tina anaitwa bibi, utadhani mnaishi Hollywood.

Huwa najiuliza sana watu wa JF mnadate watu wa aina gani? Mnazungukwa na watu wa aina gani? Ndugu zenu wa kike wanafananaje?

Halafu wasichana tukiwa wadogo sote tunakuwaga wazuri, ukiona mtu mzima 35+years bado mzuri, jua huyo ni mzuri kweli kweli, ndio kama Tina.
 
Waliopo mtaani ndo hao hao wapo jf Sema kwa sababu hatujuani mtu anaandika chochote tu!

Uzuri wa mdada 20-34 bn juu ya hapo ndo inategemeana na ntu & ntu Kuna nuru flan inapotea ndo pale saloon zinaanza kazi yake ya kuhakikisha unaonekana vzr, huyo shusho kutana nae live 😁
 
438304522_953342773466628_6971739484829622863_n.jpg
 
Back
Top Bottom