Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nani kasema ukikata huku na kule bumps zinakuwa ndogo zenyewe🤣Nzuri ila mambo ya kuanza kukata huku na kule kwenye bumps shida tupu
Nchi ya wakulima tunalima mpaka Barabara utafikiri tunapanda viazi.Nzuri ila mambo ya kuanza kukata huku na kule kwenye bumps shida tupu
Haziwi ndogo bali unapunguza destruction ya gari lakoHivi nani kasema ukikata huku na kule bumps zinakuwa ndogo zenyewe🤣
Nilishangaa sana juzi kati wakati niko Dar
Kivipi?Haziwi ndogo bali unapunguza destruction ya gari lako
Crown ni Crown tu.... na itabaki kuwa crown tu hata uipake maziwa!!!.....
Ya silver 🤭Kitu Primio
Hata kuwe na lami matuta ya ovyoGari za chini kwa bongo changamoto ni barabara tu!
Nunua hata corolla hukosi mrembo.Washaiponda Saaana,lkn imeshindikana.Ndo sukari ya warembo hio.
Gari ya kiwaki hiyo,tupo na subaruBody ndiyo inawavutia ila hakuna lolote....zipo chuma zimewaka hatari, afu siku hizi wengi hawanunui crown.
Hata bata vuzi warembo hukosi.Nunua hata corolla hukosi mrembo.