Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Kuna namna yoyote ya kuinyanyua kidogo? Aki ukiliona limepark ni bonge moja ya gari. Tembea nalo sasa ndio utajuta. Umakini wa hali ya juu kwa njia zetu. Yaani utafikiri unakagua njia. Ole wako ujisahau kidogo ukavamia tuta mchongoko. Hao wanaosifia ukute wanaendeshea joberg na si bongo.
 
Mkuu unatia chumvi Mbona linapita vizuri tuu kwenye tuta lolote bila ya kugusa
 
Haya Fundi maiko
Hebu elezea kwa kutumia fizikia ili nimuone yule profesa aliyenifundisha damping coefficients alikuwa kilaza
View attachment 2784495
Swala ni kupanda bump kwa kulikata halihitaji akili kubwa hivi, unavyopanda bump ukiwa umenyooka tair za mbele zitapita huku za nyuma bado so pale kati lazima paguse chini but unavyolikata kwa upande possibility ya tairi zote kupamba ni kubwa so kunakuwa na less distruction/ nill
 
Back
Top Bottom