Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Compressor na 3 series za 2006 ufananishe na crown za 2006?[emoji23]

Umeendesha crown wewe au unasikia story za vijiweni
Ukitoa Topspeed hakuna kitu hizi gari zitafata kwa Ndege ya chini labda uzungumzie za miaka ya mbele

Crown ni luxury,comfortable hatari + powerful
Every the look hasa Crown Athlete full body kit[emoji13]
naikubali sana crown ili usijiiifananishe na compressor kaka
 
SG5
IMG_20231017_105648.JPG
 
crown ni gari nzuri sana,lakini kwangu mimi magari ya chini huwa hata nikiwa nalo basi tu kwasababu sina jinsi. gari ambayo hata ikifika kwenye tuta unapunguza mwendo? wakati mwingine hata ist an vitz wanakupita kwenye tuta. ipo chini sana. uzuri wa gari uwe juu juu.
 
Crown gari ya kawaida sana huwez fananisha na compressor au fuga ni vitu viwili tofaut sema ushamba wa weng wanaona crown ni gar...
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    31.7 KB · Views: 13
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    61.6 KB · Views: 12
Crown gari ya kawaida sana huwez fananisha na compressor au fuga ni vitu viwili tofaut sema ushamba wa weng wanaona crown ni gar...

Tatizo unafananisha crown ya 2006 na compressor za 2014 [emoji23][emoji23][emoji23] hapo hakuna ubishi ipe compressor maua yake ni kali sana hasa upate AMG body
 
Hapa tusilete ushabiki tuongee fact in terms of
-comfortability
-performance
-luxurious
-Reliability

Na tufananishe compressor vs crown athlete zote 2006

Haya twende
ndio maana nilikuambia nikuadd kule kwa group ungejifunza mengi zaidi
kule kuna mafundi nguli wa car mechanics hadi dr toyota yumomule kuzoa madini
gari inachambuliwa kuanzia engine hadi body kila kitu unakielewa
kwaufupi sana DHUMUNI LA MJAPAN KUTENGENEZA CROWN NI ALITAKA KULETA USHINDANI NA HIZO GERMAN SEDAN
akaona atengeneeze gari ambalo mtumiaji ambaye hawezi kuaaford german sedan atapata gari for affordable price itakayomu offer spacious,stability on high speed, luxurious,comfortability,performance
CROWN NI MOJA YA JAPANESE FLAGSHIP CAR Mjapan alituliza kichwa akakaa akatulia akatengeneza hii chuma

MERCEDEZ BENZ IS FAR BETTER MILES AWAY.........
 
Tatizo unafananisha crown ya 2006 na compressor za 2014 [emoji23][emoji23][emoji23] hapo hakuna ubishi ipe compressor maua yake ni kali sana hasa upate AMG body
hapana tunaongelea mwaka huo huo compressor ya 2006 na crown ya 2006
NB:hata mimi ukinambia nichague kati ya hizo i will opt crown grs 180
 
Back
Top Bottom