Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Mwamba huyu hapa
IMG-20231016-WA0015.jpg
 
Crown ni gari moja ya kawaida sana huwezi fananisha na compressor, au Bm x1 au Bm siries ya 3 sema tu vijana wengi wameshobokea crown...

Compressor na 3 series za 2006 ufananishe na crown za 2006?[emoji23]

Umeendesha crown wewe au unasikia story za vijiweni
Ukitoa Topspeed hakuna kitu hizi gari zitafata kwa Ndege ya chini labda uzungumzie za miaka ya mbele

Crown ni luxury,comfortable hatari + powerful
Every the look hasa Crown Athlete full body kit[emoji13]
 
Back
Top Bottom