Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mark X vertiga ni Mnyama sana kwa upande wa hizi Sedan carsWabongo maneno mengi
Niliendesha Maruti na dada alitendewa haki safi kabisaNunua hata corolla hukosi mrembo.
😅😅😅Niliendesha Maruti na dada alitendewa haki safi kabisa
😂😂😂Nchi ya wakulima tunalima mpaka Barabara utafikiri tunapanda viazi.
Crown ni gari moja ya kawaida sana huwezi fananisha na compressor, au Bm x1 au Bm siries ya 3 sema tu vijana wengi wameshobokea crown...
mkuu shule ulienda kusomea nini?Hivi nani kasema ukikata huku na kule bumps zinakuwa ndogo zenyewe[emoji1787]
Nilishangaa sana juzi kati wakati niko Dar
Series ngapi hii?
Aisee! Kumbe wewe ni wa mkoani.Hivi nani kasema ukikata huku na kule bumps zinakuwa ndogo zenyewe🤣
Nilishangaa sana juzi kati wakati niko Dar