Kuna namna yoyote ya kuinyanyua kidogo? Aki ukiliona limepark ni bonge moja ya gari. Tembea nalo sasa ndio utajuta. Umakini wa hali ya juu kwa njia zetu. Yaani utafikiri unakagua njia. Ole wako ujisahau kidogo ukavamia tuta mchongoko. Hao wanaosifia ukute wanaendeshea joberg na si bongo.