Uchaguzi 2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

CHADEMA wamekuwa washindani wa CCM mara tu baada ya NCCR - MAGEUZI kuachia hiyo nafasi na kumfanya Mbowe kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) na CHADEMA kuwa wapinzani wazoefu - nafasi inayowahusu for the next 50 years!
 
Magufuli hata akirejea madarakani lakini kitu ambacho sasa apende asipende lazima akubali ni kuwa kuna vyama hawezi kuviua yeye na siku akifa vitakuwepo kwenye msiba wake kumzika.

Aache kabisa kupoteza muda wake kuwanyanyasa wapinzani kwani ajue kuwa kama atakuwa amerejea madarakani ni kwa hisani ya tume yake na sio kwa ridhaa ya wananchi.

Magufuli amepoteza sehemu kubwa ya muda wake katika muhula wake huu wa kwanza kujaribu kuua upinzani lakini bila mafanikio hali ambayo imemfanya asifanye chochote cha maana na kuwaacha asilimia 65 ya wananchi wakiwa hoi kimaisha.
 
Mkuu tukiamasishana Siku ya kuhesabu kura tusiamamie ipasavyo magu hatoboi.kama Edo alikuwa hana Sera zaidi ya peopleees peopleess power na akampiga chini magu 2015,ije kuwa huyu mwamba anaetoa elimu ambayo wananchi wanataka kuisikia,yaan magu SAA NNE asubuhi anaachia ikulu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…