Ila JF bwana!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nneπŸ˜‚

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeeleeπŸ˜‚
 
Mi nashangaa kila mtu anasema yupo nje ya nchi na kila mtu ana uwezo wa kuingiza milioni moja kwa mwezi.
 
Kuna mwamba alisema hawezi kuteswa na mapenzi, tuko nae hapa mpaka leo bado tunampepea ili azinduke baada ya kula kitu kizito siku ya wapendanao baada ya mpenzi wake kumpost mpenzi wake 😎
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna yule jamaa aliesema allitisha malaya kutoka telegram akashangaa kumuona ndugu yake ila akachapa hivyo hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…