Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne๐
Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi
Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc
Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee๐